Kwako Lissu; Kwenye public speeches na Live interviews kunahitaji Sanaa ya kuusema ukweli na kuepuka UKALI wakati usio sahihi ili kushawishi watu


Kila Jambo Lina Muda wake.
Hicho ndicho nilichomshauri Tundu Lisu
 
Aiseeh!
Kwamba Mimi niitetee dhulma?

Mimi nimemshauri Lisu namna ya kufika huko anakotaka kufika. Hiyo ni juu yake kuelewa kwa namna yako au Kwa namna atakayoona yeye

..makala yako inawakingia kifua wanaodhuluma.

..umembebesha Lissu lawama kwamba ndiye anayekwamisha dhuluma zisiishe kwasababu hajui kutetea wanaodhulumiwa.
 
..Na makala yako, hata kama ulikuwa na nia nzuri, umeiandika katika muda ambao sio sahihi.

..unapaswa kutambua kwamba watu wamepoteza maisha ktk kila uchaguzi wa nchi hii.

..tumia kalamu yako vizuri kwa kupinga dhuluma hiyo.

Kwa sababu naona nikikaa Kimya huyo Lisu anapoteza wale wasiomuunga Mkono ambao ni wengi badala ya kuwashawishi wawe upande wake

Sema wewe huelewi labda siasa ni kitu gani.

LISU anahitaji watu.
Watu ndio watamfikisha kutimiza maono yake kwa kile anachohubiri.

Naona unaangalia kwa jicho Moja tuu
 
Lissu had done enough na amejitoa sana, anaweza eleweka kwa mapungufu Madogo, maana strength alizonazo zaweza explain hayo mapungufu!
 

..unaunga mkono dhuluma kwa makusudi, au kutokujua.
 
Uko Sahihi Mkuu
 
Just wondering
na wale wanaopewa tisheti, kanga, kofia, chakula na elfu kumi kumi wapo upande gani vile?
Wale ni misukule au vichaa , kichaa anacheza popote Tu yeye hajali wale Wana mchango mdogo kwenye taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…