Waminyato
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,197
- 4,525
ona mbadala hapo chini mwenye namba asipokuwepo.[emoji116]Hivi mnataka Mohamed Hussein afanye nini ili mridhike kuwa anacheza kwa kiwango kikubwa ?
Mbona mashabiki wa Simba wakati mwingine tunakosa hata Shukrani ?
Simba kwenye midfield kwa level yao wako vizuri tu au mnataka wamlete Kante ? Mbona Simba hawa hawa wamekuwa wakizikalisha timu nyingi tu wakiwa na kina Mzamiru.
Hivi unajua mara ya mwisho Simba kufungwa goli nyingi ugenini ni mechi yetu na Kaizer Chiefs na mechi ile kulikuwa na tatizo la fitness kwa wachezaji kukaa zaidi ya wiki mbili bila kucheza hata mechi moja?
Golini:Manula,,,Kakolanya.
beki;Onyango,,,Kenedy,Oatara.
beki 3: Zimbwe asipokuwepo nani mbadala wake?
Gadiel hawezi kufikia hata robo ya kazi ya Zimbwe lazima Zimbwe atafutiwe mbadala pindi akiumia au lolote likitokea.
stricker😛hiri asipokuwepa nani anasimama namba tisa?
CDM:Mkude,Muzamir,Nyoni hawa wote awajafit namba sita kufikia kiwango bora kama cha Lwanga au Fraga.tunaenda tu hivyohivyo ubora wa Chama na wing strickers unasaidia kupatikana magoli timu inasonga.
Simba wana back pass nyingi kwasababu ya kukosa CDM.ile style ya Simba kupiga pasi milioni kuanzia nyuma mpaka goli la mpinzani inakosekana kwasababu ya kukosekana namba sita mwenye kiwango bora.