Waminyato
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,197
- 4,525
vyoyote vile lakini ni lazima Simba wasajili stricker sijui unachobisha ni kipi,wewe huoni umuhimu wa Simba kuwa na stricker wa ziada mwenye uwezo wa kufunga kama alivyo Phiri,wewe huoni huo umuhimu ama ni vipi?Super Cup bado sio confirmed kwamba tutashiriki.....
Mapinduzi sio mashindano ni Bonanza.....
Kyombo anaweza perform.
Winga Okrah, sakho, Banda, Kibu umpeleke Phiri pembeni kufanya nini?
Tukubali kama tunasajili striker mwingine basi Phiri atacheza au huyo striker acheze.