Kwako Magori: Tunahitaji kiungo mkabaji na namba 9 na beki 2/3 siyo kiungo mashambuliaji

vyoyote vile lakini ni lazima Simba wasajili stricker sijui unachobisha ni kipi,wewe huoni umuhimu wa Simba kuwa na stricker wa ziada mwenye uwezo wa kufunga kama alivyo Phiri,wewe huoni huo umuhimu ama ni vipi?
 
Sioni ulazima......wakisajili sawa wasiposajili sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…