Umeona mwenyewe mimisa..? nilimkuta mahali anadai ati kwa shangazi yake.. na yule binti niliomkukuta nae atasema ni binamu yake.. ati "binamu nyama ya hamu".. nilikuambia mtaani kwao manoah anaitwa Messi kwa ukali wake kwa hawa wa jinsia tofauti..