Kwako Mahabuba Paloma.. Nimetimiza ahadi ya kukununulia gari..

Kwako Mahabuba Paloma.. Nimetimiza ahadi ya kukununulia gari..

sosoliso

Platinum Member
Joined
May 6, 2009
Posts
8,543
Reaction score
9,480
IMG00535-20130316-1620.jpg
IMG00536-20130316-1621.jpg
IMG00537-20130316-1621.jpg

Hatimae nimetimiza ahadi ile nilioitoa kwako mpenzi Paloma.. Nimeamua kukunulia Land Rover Freelander short chasis..
Najua hapa kati zimetokea stori nyingi ati oh mara nimewakuta kwenye mtaro ukiwa na Bujibuji.. Mie siziamini hata kidogo.. Najua wengi hawapendi kutuona tukiwa kwenye mahabati ya nguvu.. Nimekufungulia na kampuni ya ulinzi ambayo unaimiliki kwa asilimia 100..
ni hayo tu mpenzi..
Ni mie wako nikupendae daima..

NB: Baba V ukiwa kama mwenyekiti wa mahusiano ninaomba ulinzi wako..

cc: saudari.. Bujibuji.. Bishanga.. Arushaone.. mpwa Elli..
 
Last edited by a moderator:
Hahahahhaaaaa Mpwa natafuta scraper.....nadhani hio gari yako itanifaa sana kwa kuuza chuma chakavu
 
Hahahahhaaaaa Mpwa natafuta scraper.....nadhani hio gari yako itanifaa sana kwa kuuza chuma chakavu

Mpwa Elli unaniharibia.. hii gari inamilikiwa na Paloma sasa.. Halafu sio scrap hiyo ujue..
 
Last edited by a moderator:
asante nyonda wangu.............asante sana sosoliso wangu! hili ndio niikuwa nalitaka!!!! sikutegemea kama ungenitimizia ahadi hii uliyoiweka tangu enzi zile tunabaka panzina kuchezakombolela kule mafleti ya kiba Boflo
sasa i need a driver...........sijui tumuajiri nani? saudari Bujibuji au........... Boflo
 
Last edited by a moderator:
Paloma mwambie akukabizi na Kadi ya gari! Unaweza kufanyiziwa yale ya Mastaa wa Bongo movie!! CHANGAMUKA
 
mh.. Bujibuji simtaki hata akusogelee..! Boflo haeleweki.. macho yake yamekaa kimischifu hivi.. simuamini.. saudari nae mjanja mjanja.. mtu wa kutelezea.. Kwani madereva wa kike hawapo..?
 
Last edited by a moderator:
Paloma mwambie akukabizi na Kadi ya gari! Unaweza kufanyiziwa yale ya Mastaa wa Bongo movie!! CHANGAMUKA

Kadi mbona tayari ina jina lake.. Na kiwanja nilichomnunulia huko Mbagala Kimbangulile nimeandika jina lake kwenye hati.. Najua unataka kuniharibia wewe Yegoo.. Wenyewe tunapendana.. kuachana sio muhali..

heeeeee kweli eeenh
athante kwa ushauri! ila najua kuna watu wanaona wivu sana..........
cc Nicas Mtei Eiyer Kaunga Mtambuzi

Umeona mpenzi wangu Paloma.. wengi hawapendi wanakuja na kauli za kuweka shaka kwenye mahaba yetu..
 
Last edited by a moderator:
:nono::nono::nono:,,,,,,,,,,,,,ntaendesha mwenyewe!!!!!

Afadhali.. na lift usiwape hao nilio na shaka nao.. Maana ninajua wao kazi yao kusarandia miteremko tu Paloma..
 
Last edited by a moderator:
Yani Paloma mtoto white ngozi nyororo unaamua kupandisha kwenye trekta aina ya Ford 6600?.....amakweli walisema akutukanae akuchagulii tusi!lakini uwezi kujua kipendacho roho!.......ila nasema paloma sihitaji lift yako hata unikute jangwani natembea baada ya foleni kuwa kubwa niache ila naona inakufaa kwa ajili ya steaming!
 
ha ha ha KakaKiiza.. Hata pangoni yuko radhi kwenda kuishi na mie.. Marijani Mwana wa Rajabu aliimba asiejua kupenda aombe Mungu yasimkute.. Tunapendana sana..
 
Last edited by a moderator:
Yani Paloma mtoto white ngozi nyororo unaamua kupandisha kwenye trekta aina ya Ford 6600?.....amakweli walisema akutukanae akuchagulii tusi!lakini uwezi kujua kipendacho roho!.......ila nasema paloma sihitaji lift yako hata unikute jangwani natembea baada ya foleni kuwa kubwa niache ila naona inakufaa kwa ajili ya steaming!
1456710.bin

checki nitakavyokuipimp......ready for security purposes.................ooooh nakupenda mehbub wangu sosoliso povu!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom