Kwako Mahabuba Paloma.. Nimetimiza ahadi ya kukununulia gari..

Kwako Mahabuba Paloma.. Nimetimiza ahadi ya kukununulia gari..

View attachment 87294View attachment 87295View attachment 87297Hatimae nimetimiza ahadi ile nilioitoa kwako mpenzi Paloma.. Nimeamua kukunulia Land Rover Freelander short chasis..Najua hapa kati zimetokea stori nyingi ati oh mara nimewakuta kwenye mtaro ukiwa na Bujibuji.. Mie siziamini hata kidogo.. Najua wengi hawapendi kutuona tukiwa kwenye mahabati ya nguvu.. Nimekufungulia na kampuni ya ulinzi ambayo unaimiliki kwa asilimia 100.. ni hayo tu mpenzi..Ni mie wako nikupendae daima..NB: Baba V ukiwa kama mwenyekiti wa mahusiano ninaomba ulinzi wako..cc: saudari.. Bujibuji.. Bishanga.. Arushaone.. mpwa Elli..
Kupendwa raha we acha tu.
 
Last edited by a moderator:
View attachment 87294
View attachment 87295
View attachment 87297

Hatimae nimetimiza ahadi ile nilioitoa kwako mpenzi Paloma.. Nimeamua kukunulia Land Rover Freelander short chasis..
Najua hapa kati zimetokea stori nyingi ati oh mara nimewakuta kwenye mtaro ukiwa na Bujibuji.. Mie siziamini hata kidogo.. Najua wengi hawapendi kutuona tukiwa kwenye mahabati ya nguvu.. Nimekufungulia na kampuni ya ulinzi ambayo unaimiliki kwa asilimia 100..
ni hayo tu mpenzi..
Ni mie wako nikupendae daima..

NB: Baba V ukiwa kama mwenyekiti wa mahusiano ninaomba ulinzi wako..

cc: saudari.. Bujibuji.. Bishanga.. Arushaone.. mpwa Elli..

ilike mandolini more than discover II..
 
Last edited by a moderator:
ooooh Lord! i need more 😛ainkiller:

Bibie Paloma achana na huyo lofa sosoliso, njoo huku mwaya.
bmw.gif
 
Bujibuji.. hapo kwenye red unamaanisha moyo wangu mie.. Ninashukuru kwa kunipongeza.. Nampenda sana Paloma.. ninashangaa mpaka sasa hivi Mwenyekiti wa kamati ya mahusiano Baba V hajanipa baraka zake.. Au sijui kuna konfliti ofu interesti hapa..

jiamini ya habibi, tamba ringa uwezavyo...mimi milki yako! whether Baba V ametia baraka or not!
 
Last edited by a moderator:
Mimi naomba kazi ya udereva kwenye hilo gari lako Paloma. Nitakuendesha kwa usalama na hakika utafurahia huduma yangu.
 
Last edited by a moderator:
Mimi naomba kazi ya udereva kwenye hilo gari lako Paloma. Nitakuendesha kwa usalama na hakika utafurahia huduma yangu.


sitaki Arushaone! dereva wangu nampenda sana, ananiendesha mpaka nafika bila matatizo! analijulia gari lake, anajua wapi kwa kuongeza maji au oil! wapi atie breki vipi apandishe mlima na kushuka...mradi salama nafika!
wewe hulijuliii gari hili......hutanifikisha niendako! Sorreee
 
Last edited by a moderator:
View attachment 87294
View attachment 87295
View attachment 87297

Hatimae nimetimiza ahadi ile nilioitoa kwako mpenzi Paloma.. Nimeamua kukunulia Land Rover Freelander short chasis..
Najua hapa kati zimetokea stori nyingi ati oh mara nimewakuta kwenye mtaro ukiwa na Bujibuji.. Mie siziamini hata kidogo.. Najua wengi hawapendi kutuona tukiwa kwenye mahabati ya nguvu.. Nimekufungulia na kampuni ya ulinzi ambayo unaimiliki kwa asilimia 100..
ni hayo tu mpenzi..
Ni mie wako nikupendae daima..

NB: Baba V ukiwa kama mwenyekiti wa mahusiano ninaomba ulinzi wako..

cc: saudari.. Bujibuji.. Bishanga.. Arushaone.. mpwa Elli..
...aiseee....
 
Back
Top Bottom