Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Najua mpenzi Paloma.. Jana nilienda Mbagala kimbangulile kwenda kuangalia kiwanja cha kujenga kwa ajili yako.. Najua watakuja kusema hapa maneno mengi..
cc: Safari_ni_Safari..
Kaka Mbagala tena na sio Tegeta? Inabidi Paloma ajifunze kuogelea........na baada ya muda