Kwako Mahabuba Paloma.. Nimetimiza ahadi ya kukununulia gari..

Hahahahahahahahaha
siamini mtoto mzuri kama Paloma kweli ana panda hili gari ni bora ungemnunulia baiskeli kabisa! Na kwambia hilo gari lazima limpatie pressure!

sosoliso tafadhali kama umeshindwa kutunza.........................................................
 
Last edited by a moderator:
Kabla ujalipanda choma sindano mbili za tetenasi!

heheheheeeeeeeee wewe umebadilisha namba nini?!?!? mbona sikusomi!!! nakwambia nyota ya jaha imeniwakia mie...sasa hivi natembelea ------...mambo ya mandolin! Tarehe 22 ntakupitia nalo!
 
Hahahahahahahahaha
siamini mtoto mzuri kama Paloma kweli ana panda hili gari ni bora ungemnunulia baiskeli kabisa! Na kwambia hilo gari lazima limpatie pressure!

sosoliso tafadhali kama umeshindwa kutunza.........................................................

babe Paloma hajakulia kwenye maisha ya raha heee.. Mtoto kafundwa akafundika.. hajali hayo yote usemayo Ruttashobolwa

Kabla ujalipanda choma sindano mbili za tetenasi!

Duuh.. babe Paloma njoo uone jungu huku.. Maana hili ni jungu ambalo limechukua nafasi ya kwanza kwa muda huu.. kweli Ruttashobolwa wewe ni mahiri..
 
Last edited by a moderator:
Paloma sina tatizo kwa hilo la kwenda mbugani,
tatizo ninakuonea huruma maana akiniona sosoliso unaweza ukajuta baadae,
na pia sipendi kumpoteza tena Mr Rocky wangu.

ndo maana nakupenda my dear dada Mamndenyi humnyimi mtu maujuzi ati! Barikwia1 yakishatengemaa tutaenda wote mbugani...
 
Last edited by a moderator:
Paloma sina tatizo kwa hilo la kwenda mbugani,
tatizo ninakuonea huruma maana akiniona sosoliso unaweza ukajuta baadae,
na pia sipendi kumpoteza tena Mr Rocky wangu.

mwenzaaangu..........sasa shida na mie nikionwa na Mr Rocky tu....itakuwa ishu halafu waha wabwanga wanaweza kudhuriana!!! sasa sijui tufanyeje eti?!!?
 
Last edited by a moderator:
babe Paloma hajakulia kwenye maisha ya raha heee.. Mtoto kafundwa akafundika.. hajali hayo yote usemayo Ruttashobolwa

Duuh.. babe Paloma njoo uone jungu huku.. Maana hili ni jungu ambalo limechukua nafasi ya kwanza kwa muda huu.. kweli Ruttashobolwa wewe ni mahiri..

hahahhahahahaaaaaaa wajua haya majungu...ni kichekesho tu kwangu - naongeza muda wa kuishi kwa dunia!!!
usipate presha kipenzi changu sosoliso
 
Last edited by a moderator:
Paloma itabidi hiyo safari iwe ya watu wanne
manake na mimi ni mgonjwa wa wivu.

Back
Top Bottom