Kwako Mahabuba Paloma.. Nimetimiza ahadi ya kukununulia gari..

Kwako Mahabuba Paloma.. Nimetimiza ahadi ya kukununulia gari..

Kadi mbona tayari ina jina lake.. Na kiwanja nilichomnunulia huko Mbagala Kimbangulile nimeandika jina lake kwenye hati.. Najua unataka kuniharibia wewe Yegoo.. Wenyewe tunapendana.. kuachana sio muhali..



Umeona mpenzi wangu Paloma.. wengi hawapendi wanakuja na kauli za kuweka shaka kwenye mahaba yetu..

Ushauri wa bure, si ungemuanzia banga kwanza?
Sasa atambonji garini ?
 
Last edited by a moderator:
Nyumba inajengwa uzeeni bana Judgement
t.. Wacha tujirushe na Paloma wangu.. Hata watoto hatujapata tukimbilie kujenga..!

Hee!
Hivi hamnaga "Baba mwenye gari" au "Mama mwenye gari" ujue?
Ama "Baba/Mama mwenye Bajaji"
Ipo "Baba/Mama mwenye nyumba" shauriro!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom