Kwako Mahabuba Paloma.. Nimetimiza ahadi ya kukununulia gari..

Kwako Mahabuba Paloma.. Nimetimiza ahadi ya kukununulia gari..

Hee!
Hivi hamnaga "Baba mwenye gari" au "Mama mwenye gari" ujue?
Ama "Baba/Mama mwenye Bajaji"
Ipo "Baba/Mama mwenye nyumba" shauriro!


mr Judgement................FYI mehbuba wangu sosoliso ameshaweka kibanda kule mbagala kimbangulile kwa ndunguru....fatilia vizuri
 
Last edited by a moderator:
Paloma keshakuwa wa kwako mara hii?

Ina maana matangazo yote haya bado ulikuwa hujaamini Bishanga..? Mkajinyonge wenye wivu.. wenyewe tumetulia.. tunazidi kuvutia.. mtaimba sana na mwisho mtapita.. mahaba yangu na Paloma katu hayatayoyoma..

cc: saudari..
 
Last edited by a moderator:

Tupotupo

images
 
Back
Top Bottom