Arabela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 3,127
- 2,227
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa sosoliso niko na bibie Arabela naona account yake ya JF imegoma kulogin ndio akaamua kutumia yangu kumjibu huyo mzee mshakunaku a.k.a macho juujuu ili kumwonyesha kuwa asione vyaelea...vina wenyewe.

Copy kwa zubedayo_mchuzi
Halafu ukifanikiwa kumuona Bishanga mwambie amwambie mkewe asinizoee mi simtaki!ha ha ha.. anapigwa pande zote.. nashangaa The secretary haoni hizi purukushani zote za huyu jamaa yake.. duuh..!
Ha ha ha ha.. babe Paloma njoo uone vituko anavyotufanyia Safari_ni_Safari huku.. duuh..! sasa ina maana sie ndo tuko hivyo..?