Kwako Mahabuba Paloma.. Nimetimiza ahadi ya kukununulia gari..

Kwako Mahabuba Paloma.. Nimetimiza ahadi ya kukununulia gari..

sosoliso kipenzy nimemiss sarakasi zakoooo......................
Shaq-and-Hoopz-3.jpg
...hahahahahahaha...mlikataa ..wakati nawaambiwa hizo avatar zenu..zinafaa sana...haya picha inajionesha. sosoliso.. Paloma....hihihihihihihi
 
Last edited by a moderator:
athanteeeeee.....utakuja naye ijumaa walau nimtie machoni na nipeane naye mkono jamani!
thijamuona thiku nyiiingiiiiiiiii hihihihihihihiihiiiiiiii
hihihihihihihihi..akiwa na muda nitakuja naye...ila anasema kila akija unampotezea ..anaamua kukaa pembeni mwenyewe
 
View attachment 87294
View attachment 87295
View attachment 87297

Hatimae nimetimiza ahadi ile nilioitoa kwako mpenzi Paloma.. Nimeamua kukunulia Land Rover Freelander short chasis..
Najua hapa kati zimetokea stori nyingi ati oh mara nimewakuta kwenye mtaro ukiwa na Bujibuji.. Mie siziamini hata kidogo.. Najua wengi hawapendi kutuona tukiwa kwenye mahabati ya nguvu.. Nimekufungulia na kampuni ya ulinzi ambayo unaimiliki kwa asilimia 100..
ni hayo tu mpenzi..
Ni mie wako nikupendae daima..

NB: Baba V ukiwa kama mwenyekiti wa mahusiano ninaomba ulinzi wako..

cc: saudari.. Bujibuji.. Bishanga.. Arushaone.. mpwa Elli..

ahadi ni deni bora umetimiza ulichokiahidi
 
unajua kua anakuzuga tu huyo Paloma au ujajishtukia aaah?

yote mtasema nyie.. kupendwa raha nakuambia.. Paloma mpenzi uko wapi..? hebu njoo umuone manoah anavyokufa na wivu huku..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom