Eti boss
Mamndenyi eti umemficha shemeji au amjificha mwenyewe?
heeeeee kweli eeenh
athante kwa ushauri! ila najua kuna watu wanaona wivu sana..........
cc Nicas Mtei Eiyer Kaunga Mtambuzi
Mama mkwe upo?
Mkwe umepoteaje,
hata pm hauonekani kabisa,
nani tena anayetaka kukubadilisha moyo.
Ruttashobolwa si useme kama loya mbona unapata kigugumizi tena.
Boss Mamndenyi ukiona hivyo sina ushahidi ndio maana lakini kama unamkumbuka nitajie
Hilo gari kama litakwenda leo tupo hapa tafadhali Paloma watu watafikiri una uza vyuma chakavu