Kwako Mahabuba Paloma.. Nimetimiza ahadi ya kukununulia gari..

ah ah ah! Haya bana sosoliso kila la kheri ila najua mwisho wa siku utakuja kutulilia hapa jamvin live bila chenga Paloma leo nitakupiti na yule naniliyu wako.. Sasa ivi nampitia kwanza mimisa
anavyonipenda Paloma mpaka ninaamini pepo iko hapa hapa duniani manoah..

oh babe Paloma umeshakula my dear..? usiwe unachelewa kula mpenzi..
 
Last edited by a moderator:
ah ah ah! Haya bana sosoliso kila la kheri ila najua mwisho wa siku utakuja kutulilia hapa jamvin live bila chenga Paloma leo nitakupiti na yule naniliyu wako.. Sasa ivi nampitia kwanza mimisa

jamani!!! manoah ukoje wewe...........mie ninatoka na mupenzi yangu sosoliso.........hivyo usinifatefate! hata kampani yako siitaki jamani!
 
ha ha ha manoah.. mtasema yote katu mie na Paloma hatutaachana..

Mpenzi Paloma muda wa kurudi home huu.. ngoja nikupitie hapo..
 
Last edited by a moderator:
jamani!!! manoah ukoje wewe...........mie ninatoka na mupenzi yangu sosoliso.........hivyo usinifatefate! hata kampani yako siitaki jamani!

mpe huyo my dear.. kwanza ana tabia mbaya manoah.. kaambiwa ampeleke hospitali binamu yake yeye kampeleka kwenye nyumba ya wageni.. namuambia mimisa ati haamini..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…