The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
Unanitamanisha hela Mkuu!Hii ni kwako wewe mfanyakazi unaejitafuta kimaisha na kwa wote wanaofanya au kutarajia kufanya kazi ya kupokea mishahara
Kama mshahara wako ni shilingi laki moja, waambie nduguzo unalipwa elfu 60 na watu baki waambie unalipwa elfu 40.
Namba hazitakiwi kuwa halisi, ukitaja kiwango halisi wataongeza 'vizinga.'
Maana watacheza na shida zao kulingana na mshahara wako.
Usipokaa sawa utaanza zile, "kila nikishika hela shida haziishi...huyu anasema hivi, na yule anataka vile."
Hawana shida hivyo, ni vile wanajua kipato chako na mbaya zaidi mmoja hajui kama mwingine 'kakulabua' So, wanaweza kuja kwako watu zaidi ya mmoja kwa nyakati tofauti.
Na hata kama wana shida kweli, iwe wewe au bila wewe wata-survive tu.
Huwezi kumaliza shida za kwenu. Amua kwa hekima!
Usisahau, tulikubaliana mwaka huu tunajichagua kwanza.
βπΏ The introvert
View attachment 3379760
Mwenye hela hatangazi. Zingatia hilo.Usisahau, tulikubaliana mwaka huu tunajichagua kwanza.
Zichukue mkuu πUnanitamanisha hela Mkuu!
βββUsisahau, tulikubaliana mwaka huu tunajichagua kwanza.
HakikaMwenye hela hatangazi. Zingatia hilo.
Tuufanyie kaziβHuwezi tatua shida za Kila mtu,
Ushauri mzuri sana
HakikaKusaidia ni muhimu Ila mipaka iwepo
Mkuu Uongo unafaa au haufai? Hapo umekosea, Sahihi ni Si Lazima Kila mtu ajue mshahara wako ni shilingi ngapi, hata awe nani, Cha msingi kuwa na msimamo, Nina shida ya shilingi flani jibu Sina pesa ya kukupa ndugu yangu na hiyo imeisha, hakuna sababu ya kuongopa, kua na misimamo na waelekeze njia za kupata pesa mwenye kufuata atafuata asiefuata atajijua, ukiwa na msimamo unaweza.Hii ni kwako wewe mfanyakazi unaejitafuta kimaisha na kwa wote wanaofanya au kutarajia kufanya kazi ya kupokea mishahara
Kama mshahara wako ni shilingi laki moja, waambie nduguzo unalipwa elfu 60 na watu baki waambie unalipwa elfu 40.
Namba hazitakiwi kuwa halisi, ukitaja kiwango halisi wataongeza 'vizinga.'
Maana watacheza na shida zao kulingana na mshahara wako.
Usipokaa sawa utaanza zile, "kila nikishika hela shida haziishi...huyu anasema hivi, na yule anataka vile."
Hawana shida hivyo, ni vile wanajua kipato chako na mbaya zaidi mmoja hajui kama mwingine 'kakulabua' So, wanaweza kuja kwako watu zaidi ya mmoja kwa nyakati tofauti.
Na hata kama wana shida kweli, iwe wewe au bila wewe wata-survive tu.
Huwezi kumaliza shida za kwenu. Amua kwa hekima!
Usisahau, tulikubaliana mwaka huu tunajichagua kwanza.
βπΏ The introvert
View attachment 3379760
Nakubaliana na wewe , lengo ni moja na hii kwa ajili ya sisi tusio na mioyo migumuMkuu Uongo unafaa au haufai? Hapo umekosea, Sahihi ni Si Lazima Kila mtu ajue mshahara wako ni shilingi ngapi, hata awe nani, Cha msingi kuwa na msimamo, Nina shida ya shilingi flani jibu Sina pesa ya kukupa ndugu yangu na hiyo imeisha, hakuna sababu ya kuongopa, kua na misimamo na waelekeze njia za kupata pesa mwenye kufuata atafuata asiefuata atajijua, ukiwa na msimamo unaweza.
Ni kweli lkn kusema uongo yahitaji Moyo mgumu zaid, maana utaongopa Leo, kesho mtu huyohuyo uliemdanganya utamwambia Kuna mpango nataka kufanya, tayar umeshaumbuka, kuishi kwa uwazi ni Raha, kazi Yako, mshahara wako, tabu ya nini? Nyoosha Maelezo wakikuzoea umemaliza itabaki kuona nani waweza msaidia msaidie, pia akija akitaka pesa wewe mpe wazo la kupata pesa au mtaji maana wote tungekuwa na mitaji wote tungekuwa matajiri, mpe fikira adundulize apate mtajiNakubaliana na wewe , lengo ni moja na hii kwa ajili ya sisi tusio na mioyo migumu
Kweli kabisa mkuu , nimekuelewaNi kweli lkn kusema uongo yahitaji Moyo mgumu zaid, maana utaongopa Leo, kesho mtu huyohuyo uliemdanganya utamwambia Kuna mpango nataka kufanya, tayar umeshaumbuka, kuishi kwa uwazi ni Raha, kazi Yako, mshahara wako, tabu ya nini? Nyoosha Maelezo wakikuzoea umemaliza itabaki kuona nani waweza msaidia msaidie, pia akija akitaka pesa wewe mpe wazo la kupata pesa au mtaji maana wote tungekuwa na mitaji wote tungekuwa matajiri, mpe fikira adundulize apate mtaji
π Hapana Dadangu Cocastic naemjua mimi hapokei mshahara bali yeye ni CEO mgawa mishaharaJobless huu uzi hautuhusu, tukae kwa utulivu tyuuh, lol
Wee em sema kweli? πππππ Hapana Dadangu Cocastic naemjua mimi hapokei mshahara bali yeye ni CEO mgawa mishahara