Kwako Mkuu wa Wilaya ya Mwanga - Kilimanjaro

Kwako Mkuu wa Wilaya ya Mwanga - Kilimanjaro

UNAJIPROMOTI SIO?????????????????
Sina sifa za kupata hiyo nafasi, lakini pia kutoka moyoni siipendi maana sina uwezo wa kwenda na kasi ya JPM, wacha niishi kama nilivyo.
Karibu upareni, wilaya ya Mwanga
 
Sina sifa za kupata hiyo nafasi, lakini pia kutoka moyoni siipendi maana sina uwezo wa kwenda na kasi ya JPM, wacha niishi kama nilivyo.
Karibu upareni, wilaya ya Mwanga

Noted. Thanks
 
Sina sifa za kupata hiyo nafasi, lakini pia kutoka moyoni siipendi maana sina uwezo wa kwenda na kasi ya JPM, wacha niishi kama nilivyo.
Karibu upareni, wilaya ya Mwanga
Kwani dada yangu Rosemary wa Wilaya ya Same anasifa gani ambazo wewe huna? Au Binamu yangu wa wilaya ya Mufindi?
 
Salamu sana. Na baada ya salamu je hujambo? Mimi sijambo kabisa.

Dhumuni la waraka huu ni kukupongeza kwa utendaji kazi wako. Ilikuwa jana 24/8/2017 ambapo katika mojawapo ya kijiji cha wilaya ya Mwanga wakazi wake walifanya kosa la kulisha mifugo kwenye eneo jipya ambalo serikali imeamua liwe hifadhi.

Mifugo yao ilikamatwa kwa kosa hilo. Kinachonifanya nikusifu Mkuu wa Wilaya ya Mwanga ni pale ulipofika eneo la tukio, ukaamua mgogoro huo ambao ulifanya maamuzi ambayo ni FAIR, hukuwapendelea wale wenye mifugo na wala hukuipendelea serikali, ulihakikisha haki inatendeka kwa pande zote mbili. Ahsante sana.

Nakuomba upange ratiba yako ya ziara uje hapo kijijini uongee na hao wananchi lakini katika masuala utakayoongea nao mojawapo uwakumbushe utunzaji wa mazingira na pia kuwasisitiza kuwa kuna maeneo ambayo hawaruhusiwi kulisha mifugo yao.

Kama uko JF utasoma huu ujumbe wangu, kama hauko hapa naamini kuna wapambe wako watakupa salamu zangu, na hata bosi wako mama Anna Mghwira yumo humu JF.

Ahsante JPM kutuletea jembe wilaya ya Mwanga, ila sasa nakuomba kale "kamsuguano" kako na DAS wako mkamalize ili muweze kusimamia vema wilaya ya Mwanga.

Sina mengi kwa leo, kalamu naweka chini

Wako mtiifu,

NAHUJA
mzaliwa wa kijiji hicho
Mkuu wa wilaya ya Mwanga apiga marufuku udanganyifu wa taarifa za maendeleo
Kwenu prof.maghembe,shaibu ndemanga :mwanga hakuna ugaidi,inatosha sasa kuzusha uongo huu.
 
Kwani dada yangu Rosemary wa Wilaya ya Same anasifa gani ambazo wewe huna? Au Binamu yangu wa wilaya ya Mufindi?
Elimu yao inaruhusu, u kada unaruhusu. Mie darasa la 7 B sio rahisi na pia sio mwanachama kindakindaki wa CCM
 
Back
Top Bottom