- Thread starter
- #21
haahahahaahahahahahahahahaTena hasahasa wa mriti kifula bwawani na gonja wanajua kushukuru sana[emoji13]
Weka picha sisi tutaaminije
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haahahahaahahahahahahahahaTena hasahasa wa mriti kifula bwawani na gonja wanajua kushukuru sana[emoji13]
Weka picha sisi tutaaminije
Naomba namba yako basi, kwasalamu tu lakini, hayo mengine inshalah.haswaaaa, tena mwenye uke makini
+254 0763 999955Naomba namba yako basi, kwasalamu tu lakini, hayo mengine inshalah.
Na havache, Mrungu akughenje.+254 0763 999955
mmmh! hahahahahaha sawaNa havache, Mrungu akughenje.
Ungeitikia Amina.mmmh! hahahahahaha sawa
nahavacheeeUngeitikia Amina.
Hizi nambari zimenishtua, mi nilijua uko wilayani Mwanga kumbe uko huku kwetu kwa Jomo?+254 0763 999955
niko hapa nasubiria Kenyata aapishweHizi nambari zimenishtua, mi nilijua uko wilayani Mwanga kumbe uko huku kwetu kwa Jomo?
una maana mimi ni DC aiseeeeeeeUNAJIPROMOTI SIO?????????????????
una maana mimi ni DC aiseeeeeee
hahahah, wanti ni mkuu wa wilaya, hahahah, harikaaaaaaaaaaaaaaaaaKaicha ethi, huja du mkuu nakuelewa
Sina sifa za kupata hiyo nafasi, lakini pia kutoka moyoni siipendi maana sina uwezo wa kwenda na kasi ya JPM, wacha niishi kama nilivyo.UNAJIPROMOTI SIO?????????????????
Sina sifa za kupata hiyo nafasi, lakini pia kutoka moyoni siipendi maana sina uwezo wa kwenda na kasi ya JPM, wacha niishi kama nilivyo.
Karibu upareni, wilaya ya Mwanga
Wabeja kulumbaNoted. Thanks
Kwani dada yangu Rosemary wa Wilaya ya Same anasifa gani ambazo wewe huna? Au Binamu yangu wa wilaya ya Mufindi?Sina sifa za kupata hiyo nafasi, lakini pia kutoka moyoni siipendi maana sina uwezo wa kwenda na kasi ya JPM, wacha niishi kama nilivyo.
Karibu upareni, wilaya ya Mwanga
Mkuu wa wilaya ya Mwanga apiga marufuku udanganyifu wa taarifa za maendeleoSalamu sana. Na baada ya salamu je hujambo? Mimi sijambo kabisa.
Dhumuni la waraka huu ni kukupongeza kwa utendaji kazi wako. Ilikuwa jana 24/8/2017 ambapo katika mojawapo ya kijiji cha wilaya ya Mwanga wakazi wake walifanya kosa la kulisha mifugo kwenye eneo jipya ambalo serikali imeamua liwe hifadhi.
Mifugo yao ilikamatwa kwa kosa hilo. Kinachonifanya nikusifu Mkuu wa Wilaya ya Mwanga ni pale ulipofika eneo la tukio, ukaamua mgogoro huo ambao ulifanya maamuzi ambayo ni FAIR, hukuwapendelea wale wenye mifugo na wala hukuipendelea serikali, ulihakikisha haki inatendeka kwa pande zote mbili. Ahsante sana.
Nakuomba upange ratiba yako ya ziara uje hapo kijijini uongee na hao wananchi lakini katika masuala utakayoongea nao mojawapo uwakumbushe utunzaji wa mazingira na pia kuwasisitiza kuwa kuna maeneo ambayo hawaruhusiwi kulisha mifugo yao.
Kama uko JF utasoma huu ujumbe wangu, kama hauko hapa naamini kuna wapambe wako watakupa salamu zangu, na hata bosi wako mama Anna Mghwira yumo humu JF.
Ahsante JPM kutuletea jembe wilaya ya Mwanga, ila sasa nakuomba kale "kamsuguano" kako na DAS wako mkamalize ili muweze kusimamia vema wilaya ya Mwanga.
Sina mengi kwa leo, kalamu naweka chini
Wako mtiifu,
NAHUJA
mzaliwa wa kijiji hicho
Elimu yao inaruhusu, u kada unaruhusu. Mie darasa la 7 B sio rahisi na pia sio mwanachama kindakindaki wa CCMKwani dada yangu Rosemary wa Wilaya ya Same anasifa gani ambazo wewe huna? Au Binamu yangu wa wilaya ya Mufindi?