Kwako mmiliki wa kampuni ya mabasi ya SuperFeo

Unaweza kuthibitisha? Mbona magari hayo pia ni wahanga wa kutekwa na majambazi? Kwani mabasi hayo yanatoboa Tabora - Kigoma usiku? Yanatoboa Kibondo - Kasulu usiku?
Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa majambazi Kigoma wanaletwa na makampuni hayo?
 
Unaweza kuthibitisha? Mbona magari hayo pia ni wahanga wa kutekwa na majambazi? Kwani mabasi hayo yanatoboa Tabora - Kigoma usiku? Yanatoboa Kibondo - Kasulu usiku?
Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa majambazi Kigoma wanaletwa na makampuni hayo?

Hufatilii vyombo vya habari.
 
Haya mambo ya usafirishaji sijui kwanini figisu huwa nyingi...utakuta mtu mmoja ndiye anayetawala route kwa muda mrefu hadi unashangaa..

Nakumbuka miaka ya nyuma huko mjini songea-litui kulikuwa na gari za mtu mmoja tu wa kuitwa sabasi..yule jamaa alijua kunyanyasa abiria jamani..khaa!

Mwaka juzi nilikwenda songea nikamkuta amepata mpinzani kidogo imekuwa ahueni.
 
Ndio sababu za maendeleo kusua sua..na si huko hata kwetu.Wenyewe wanaona sifa .Ndio maana tukija Dar hatutaki kurudi huko mwakwetu.
 
Kweli kuna mikoa bado ipo nyuma.

Nashukuru mungu kwetu kaskazini unapata usafiri wowote uutakao kwanzia hiace,coster,noah,bajaji,pikipiki,mabus,pickup,baiskeli...yani ni wew tu
Si ndio mmeongezewa na treni ama sio nyinyi!?
 
Amekupata vilivyo mmiliki wa mabasi ya New Force
 
Superfeo route zake zote lazima ziguse nyumbani kwake Songea. Sasa sijui kwa huko Kilwa atafikaje Songea.
 
Mkuu KILWA ni jiran sana kwenda DAR mtu anawaza kwenda kivinje Au hata nangurukuru anapata Usafiri hata saa moja jioni nashangaa mnavyo pata tabu kuna vijicoster gar kubwa Kama higer yutong znazotoka Lindi mtwara masasi tunduru liwale lazima zpite hapo nangurukuru au mkuu una safir na mibeg mikubwa mikubwa pia kuna baadhi ya vjj vnamagar yanayoanzia huko vjjn to DAR kama Nanjilinji kiranjeraje nakiu na lazma yapte hapo nangurukuru acheni umwinyi wakutaka magar yaanzie majumban kwenu
 
Huyo super feo mwenyewe ni mnafiki na mbinafsi hatari uliza kwanini wengine wanakimbia route ya songea to dar. Ila kakutana na mchina new force hapendi longolongo akachapa m2 kitasa za king fu hahahahah
 
Kwanini kampuni nyingine haziendi kigoma?
Sababu kadhaa:-
1. Umbali wa route
2. Uhaba wa magari
3. Mobilization
4. Ubovu wa barabara
5. Idadi ya abiria
6. Hofu ya ujambazi japo kwa sasa sio sana.
7. Uoga tu wa ku take risk.

Nyingine unazifahamu wewe.

Nb: kumbuka kila route Tanzania INA makampuni yanayoshika siko... Mfano Songea na kusini yote no SUPER FEO au na kwenyewe kuna ujambazi?
 
Ukija tena songea nitafute tujuane bhana.. 😊
 
Mi kuna kijiji dodoma niliambiwa barabara inamilikiwa na mtu hivyo magari mengine hayaruhusiwi kupeleka abiria nikachoka.
 
Ni pm niwapi. Nijipange nikapambane naye
 
Kabla hajakubali ombi lako...muulize anawafanyia nini wafanyabishara wenzake ya usafirishaji hadi kukimbia route ya Dar Songea?? Kiufupi huyo naye hapendi ushindani ila kakutana na wachina New Force hadi kumfu zilipigwa!
swali lako nzuri,nijibie kidogo ktk hili.abilia wengi wa songea dar hupenda kusafir na gari lenye uhakika wa safari,hupenda gari nzuri zenye siti nzuri ndani,magari yenye namba zisizo za zamani.kampuni nyingi sana zilikuwa zinashindwa kusafirisha abiria kipindi wanapoona hadi asubuhi gari linaabiria 30 tu.matokeo yake unakuta abiria wa saibaba na abiria wa otawa wanaunganishwa kwenye basi moja wanasafiri,ukata huu wa abiria ulifanya kampuni nyingi ziache kuleta basi hapa songea. feo yeye alikuwa anakomaa hata abiria wakiwa30 anaruhusu gari yake isafiri tu.kateseka ktk kuuza jina la kampuni yake.

usijaribu kuleta basi zilizochoka songea hutapata wateja,basi ikitembea mwaka mmoja tu unatakiwa ubadilishe wateja wanaanza kuzingua.sasa kwa mujibu wa maelezo ya sumry anasema basi moja ili iludishe pesa ya manunuzi inatakiwa iwe barabarani miaka3.huku songea basi la miaka 3 hapandi mtu hapo ndio mtihani unapoanza
 
Feo nyingi kama sio zote njia ya njombe vipisi na zimechoka, zimejazana Rosa hizi fikiri, usalule basi nyingine ni sajda nae ana vipisi na kubwa 2 tu, new force ipo moja tu ya kwenda dar. Hiyo njia huwezi kuweka basi kubwa walimwachia feo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…