talentbrain
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,187
- 760
Unaweza kuthibitisha? Mbona magari hayo pia ni wahanga wa kutekwa na majambazi? Kwani mabasi hayo yanatoboa Tabora - Kigoma usiku? Yanatoboa Kibondo - Kasulu usiku?Kwenye njia ya Kigoma kina Adventure, Saratoga na Takbir walikuwa na magenge ya utekaji mabasi ya abiria kitu kilichopelekea wengine waikimbie hiyo njia.
Hatimaye magenge yamesambalatishwa na jeshi imara la polisi tanzania. Sijui huko wanatumia njia gani?
Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa majambazi Kigoma wanaletwa na makampuni hayo?