Kwako Mpendwa wetu Unique Flower

Unique Flower
 
NB: Wewe ni Mtu wa thamani sana acha kuwababaikia Wanaume , anayekupenda kweli atakufuta Mwenyewe lakini ukiwa unawashobokea watakutumia na kuzidi kukuvuruga akili yako na utajiona haufai.[emoji419][emoji375]
 
You nailed it Legend πŸ“ŒπŸ”¨
 
Kama ulikua na nia ya kumsaidia siungemfuata pm tu.
Kingine ni kivip umejua kua ana msongo wakati huna uhakika kama anaishi maisha halisi hapa ndani?

Shemeji angu Manyanza umekosea sana, huku si kufundishana ni kumdhalilisha.
 
Dalili ziko wazi Shemeji. Anahitaji huruma za watu humu kumbe ndio wamevurugwa zaidi sema ndio hivyo ni Mabubu hawawezi kujieleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…