Halafu ukahonge nope haupo seriousHiyo ni email yangu Wewe tuna hiyo Business Plan yako kwanza ili tushawishi watu waweke hiyo hela πππ
Nope, and hayupo Tena duniani.Huyo Soul saver ulimpata humu humu? πππ
I met her Mwaka Jana katikati, na she was gone Mwaka huo huo.Pole sana Kijana wangu.
Wachaa ila hiyo email ya uongoSasa hiyo hela unaipataje?
Sina haja ya kuhonga huo mpango biashara wako. Mimi Mwenyewe nimetengeneza ya kutosha. πππ
Brother naomba kuwa share Holder π€π€π€Sitoi hela Mimi Ila hiyo hela bila kuwa na Business Plan hauwezi kuipata. Alafu masuala ya kuvaa Chup*** kichwani yanaingiaje hapa ? Na hapo huo unakuwa sio mkopo ni mpango biashara wako wa hela hiyo watu ndio wataweka hiyo pesa.
Dah nitakutafuta Kijana wangu.Brother naomba kuwa share Holder π€π€π€
Dah nitakutafuta Kijana wangu.
Halafu hebu msikilize huyu Mwamba hauwezi kuishi Kinyonge hapa duniani πππ
View: https://vm.tiktok.com/ZMMNwAFNf/
Hawezi Elewaπ€π€£Nitumie email uone kama sijakujibu. Mimi humu ni Legend Wewe. Alafu unashangaa Mimi kutumia domain name ya JamiiForums? πππ
Hii ndio njia yako ya kumtaka mtu halafu kama upo serious upogi PM so huko huko katoe email addressNitumie email uone kama sijakujibu. Mimi humu ni Legend Wewe. Alafu unashangaa Mimi kutumia domain name ya JamiiForums? πππ
Hiyo sio email yako hakuna mtuanatumia hiyo email zaidi ya nwenye jfNimekupa email yangu hapa hapa wazi kabisa kwa sababu Mimi siogopi na wala Sina hofu yoyote.