Kwako Mpendwa wetu Unique Flower

Nimewaste 10 minutes za maisha ambazo sitokaa nikazirudisha.
 
Salama Mkuu?
Kinachomsumbua huyu ni Vijana wale wanao hit na ku run. Wanamuachia maumivu ya akili na kujiona sio kitu nimemshauri hapo juu.

Mzee baba umejuaje kwanza huyo mtajwa ni jinsia ke, halafu kuna raia wanatembeza bakora na kutoweka?
 
Mzee baba umejuaje kwanza huyo mtajwa ni jinsia ke, halafu kuna raia wanatembeza bakora na kutoweka?
Tuliosoma Israel na Cuba tunatumia AI πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…