Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Ni miaka 5 sasa tangu tutengane lakini bado nakupenda na nakukumbuka sana. Mapenzi yangu kwako hayajawahi kuisha na kwamwe hayatoisha kwasababu nakupenda kwa dhati toka uvungu wa moyo wangu.
Mi ni binadamu na sijakamilika ninamakosa mengi na kweli nimekukosea Sana japo sijawahi kukili mbele yako kuwa kweli sikuwa muaminifu.
Kati ya wanawake 20 nilio kuwa nao lakini wewe ndiye pekee ninaya kupenda na hata wewe najua unanipenda sana tena kuliko hata ninavyokupenda mimi. Najua kilicho tufanya tutengane ni wivu wako ulio pitiliza kwangu ( sikulaumu kwasababu kweli sikuwa mwaminifu kwako na wivu wako kwangu ulitokana na upendo wa dhati ulio nao kwangu) lakini niseme tu kwamba kwasasa nimebadilika na nimeacha nikekuwa mtu tofauti.
Popote pale ulipo uonapo ujumbe huu (Kama upo kwenu Iringa ama dar es salaam) basi naomba unisamehe sana kwa yote yalio tokea baina yetu nisamehe kwa kukutoa machozi na kuto kuuthamini upendo wako wa dhati kwangu najua uliumia sana na leo natambua na kujutia makosa yangu.
Wakati umefika sasa nahitaji kuoa na mwanamke pekee anaye nijia moyoni na fikra zangu ni wewe. Huko uliko Bite Kama hujaolewa basi naomba urudi kwaajili yangu na kama umesha olewa pia basi sina cha kufanya (nimakosa yangu mwenyewe)
"Nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo" kwa kauli hii naamini umeshanifahamu mimi ni nani na Kama upo hapa basi naomba tuwasiliane.
"Nisamehe mpenzi wangu wa moyo".