Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Aisee,mimi nilikula ya wiki tatu,nilipata tabu sana.Nimekula ban mara tatu na zote huwa ni miezi miwili.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee,mimi nilikula ya wiki tatu,nilipata tabu sana.Nimekula ban mara tatu na zote huwa ni miezi miwili.
Awe popoma, anayejitambua usitegemee.Mbona watu wana sema mwanamke ukisha zaa nae tu kumpata tena ni laisi hata kama kashaolewa?
Duhh miezi miwili mingi Sana poleNimekula ban mara tatu na zote huwa ni miezi miwili.
Hamna mwanaume hapo,Basi kuna wanaume wanajiona wao ndo wao hawawezi omba msamaha kama huu.haijarishi bite atamsamehe au hatomsamehe ila ujumbe huu binafsi nimeupenda.
Afu nyie wanaume ndo nawambia leo ukimkosea mwanamke ukaja na sorry 120 bila kurudi umuombe umuoe that stupid sorry of yours means northing.[emoji57][emoji57]
Hivi unajuwa kipindi mwanamke yupo na wewe anakuwa amewakataa wangapi?
Mjifunze kupitia msamaha huu huyu ndo mwanaume sasa.
Mtwivila[emoji23][emoji23] nilidhani Gangilonga au Wilolesi kwa vibopa[emoji23][emoji23] walau nimepakumbuka IRA kidogo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ujumbe nimeupata Ila endelea na hamsini zako, nilikuwa naishi mtwivila, saizi nipo Dar....nimekusahau, nakumbuka jina lako tu
Mimi wakinilima huwa ni miezi miwili.Aisee,mimi nilikula ya wiki tatu,nilipata tabu sana.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Bite uyu apa anatafuta mume mwemaMume mwema hutoka kwa Bwana
Mume mkristo mwenye hofu ya Mungu Awe msomi Awe mtu mzima aliyekomaa kiakili Umri 35 to 45 Awe mkweli jamani sihitaji matapeli Awe tayar kupima afya HIV Mwenye nia ya dhati ya kuoa / KUWA Kwenye mahusiano ya kudumu Awe ameajiriwa,amejiajir au mfanyabiasha halali Mkristo mcha Mungu mwenye hofu...www.jamiiforums.com
Mume mwema hutoka kwa Bwana
Ahsante Sana mkuuMiaka mitano mingi sana asee! Kama utapiga hesabu ya umri wakati uko nae na sasa utagundua mambo mengi yamepita hapa kati.nadhani ungeanzia kwenye chimbuko lake,kama ni muhehe nenda huko kijijini kwao kama unakufahamu,utapata taarifa zake.kama alishaolewa na kuwa na familia au yupo single bado. Ukiomba msamaha kwa humu jf,inakuwa kama kilio cha samaki...machozi yanakwenda na maji.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Bora hela ikose kununua kila kitu ila uwe nayoUnadhani hela inaweza nunua kila kitu ?
Miaka 5 yote hiyo hajaolewa tu??Ni miaka 5 sasa tangu tutengane lakini bado nakupenda na nakukumbuka sana. Mapenzi yangu kwako hayajawahi kuisha na kwamwe hayatoisha kwasababu nakupenda kwa dhati toka uvungu wa moyo wangu.
Mi ni binadamu na sijakamilika ninamakosa mengi na kweli nimekukosea Sana japo sijawahi kukili mbele yako kuwa kweli sikuwa muaminifu.
Kati ya wanawake 20 nilio kuwa nao lakini wewe ndiye pekee ninaya kupenda na hata wewe najua unanipenda sana tena kuliko hata ninavyokupenda mimi. Najua kilicho tufanya tutengane ni wivu wako ulio pitiliza kwangu ( sikulaumu kwasababu kweli sikuwa mwaminifu kwako na wivu wako kwangu ulitokana na upendo wa dhati ulio nao kwangu) lakini niseme tu kwamba kwasasa nimebadilika na nimeacha nikekuwa mtu tofauti.
Popote pale ulipo uonapo ujumbe huu (Kama upo kwenu Iringa ama dar es salaam) basi naomba unisamehe sana kwa yote yalio tokea baina yetu nisamehe kwa kukutoa machozi na kuto kuuthamini upendo wako wa dhati kwangu najua uliumia sana na leo natambua na kujutia makosa yangu.
Wakati umefika sasa nahitaji kuoa na mwanamke pekee anaye nijia moyoni na fikra zangu ni wewe. Huko uliko Bite Kama hujaolewa basi naomba urudi kwaajili yangu na kama umesha olewa pia basi sina cha kufanya (nimakosa yangu mwenyewe)
"Nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo" kwa kauli hii naamini umeshanifahamu mimi ni nani na Kama upo hapa basi naomba tuwasiliane.
"Nisamehe mpenzi wangu wa moyo".
Si wote, hujaona wababa wengine wanavyolia mama yao kawahodhi watoto mie hawanidhamini? Sasa ndiyo hao waliopata maudhi wakaondoka na kutupa jongoo na mti wake.Mbona watu wana sema mwanamke ukisha zaa nae tu kumpata tena ni laisi hata kama kashaolewa?
Duu miwili????Nimekula ban mara tatu na zote huwa ni miezi miwili.
Inategemea mwanamke na mwanamke si wote walio zalishwa na kuachwa wanatabia mbaya hapa, hata wanawake nao huacha pia.Sasa mbona umu watu wana sisitiza tusioe wanawake walio zalishwa kwakuwa wana tabia ya kuanzisha mahusiano tena na walio wazalisha kwa siri?