Kwako Mpenzi Bite, "nisamehe mpenzi wangu wa moyo"

Kwako Mpenzi Bite, "nisamehe mpenzi wangu wa moyo"

Wanaume mkipendwa na kuheshimiwa huwa mnaanza vituko, nikupe Pole wanawake tukipenda na kuumizwa huwa haturudi nyuma, so pambana na Hali yako, na mkeo utakayempata atakuwa pasua kichwa
 
Miaka mitano ya maombolezo inatosha.
Yalopita si ndwele.
Tugange yajayo!
Nakuamuru utoke kwenye hicho kifungo. Anza upya Arif kwa Ujiti.
 
Kuzaa huwa haijalishi moyo ukiamua haurudi nyuma
Sasa mbona umu watu wana sisitiza tusioe wanawake walio zalishwa kwakuwa wana tabia ya kuanzisha mahusiano tena na walio wazalisha kwa siri?
 
Back
Top Bottom