Kwako Mpenzi Bite, "nisamehe mpenzi wangu wa moyo"

Miaka mitano mingi sana asee! Kama utapiga hesabu ya umri wakati uko nae na sasa utagundua mambo mengi yamepita hapa kati.nadhani ungeanzia kwenye chimbuko lake,kama ni muhehe nenda huko kijijini kwao kama unakufahamu,utapata taarifa zake.kama alishaolewa na kuwa na familia au yupo single bado. Ukiomba msamaha kwa humu jf,inakuwa kama kilio cha samaki...machozi yanakwenda na maji.



Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Hamna mwanaume hapo,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ujumbe nimeupata Ila endelea na hamsini zako, nilikuwa naishi mtwivila, saizi nipo Dar....nimekusahau, nakumbuka jina lako tu
Mtwivila[emoji23][emoji23] nilidhani Gangilonga au Wilolesi kwa vibopa[emoji23][emoji23] walau nimepakumbuka IRA kidogo.
 
Bite uyu apa anatafuta mume mwema
 
Ahsante Sana mkuu
 
Miaka 5 yote hiyo hajaolewa tu??
 
Mbona watu wana sema mwanamke ukisha zaa nae tu kumpata tena ni laisi hata kama kashaolewa?
Si wote, hujaona wababa wengine wanavyolia mama yao kawahodhi watoto mie hawanidhamini? Sasa ndiyo hao waliopata maudhi wakaondoka na kutupa jongoo na mti wake.
 
Sasa mbona umu watu wana sisitiza tusioe wanawake walio zalishwa kwakuwa wana tabia ya kuanzisha mahusiano tena na walio wazalisha kwa siri?
Inategemea mwanamke na mwanamke si wote walio zalishwa na kuachwa wanatabia mbaya hapa, hata wanawake nao huacha pia.
 
Pole sana, ndiyo ujifunze siku nyingine ukipata mwanamke mheshimu, na sizani kama atakuwa kama Bite, tatizo wanaume ukipata anayekupenda kwa dhati unaanza dharau na kumchepukia kwa wengine ili uonekane kidume, lakini wanaume si mnasema nyie ni watafutaji mtapata mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…