Kwako Mr. Blue

JJ10

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
282
Reaction score
133
Kiufupi ujio wako kwenye sanaa ya mziki ulikuwa mzuri sana' na nachelea kusema hata mashabiki walikupokea vizuri pia!

Ila sijui shetani gani alikupitia' au sijui ukajiona kwamba umekua na mziki uliokutoa ukadhani wakitoto, au pengine waliokushauri walikupoteza! Mim sijui wew mwenyewe unajua'' mda flani nikisikiliza vibao vyako kama 'blue blue', mapozi' na sema'' naona kabisa huko ulikoelekea umepotea kabisa!!

Sasa basi kukosea nikujifunza'' na kuanza upya sio ujinga!! Nakushauri mziki wa Hip Hop mwachie Fid Q na wengine wanouweza' rudi kwenye staili yako yakuimba tu utang'ara tu' vinginevyo huo ndo mwisho wako kimziki! Fata nyendo za Dully tu..

Ni mtazamo wangu kama unafaa fanyia kazi' haufai upotezee tu!!
 
Kwani wimbo wake wa kwanza 'Bluubluu' unatofauti gani na Pesa,mbona kote karap?Kwani Tabasam unatofauti gan na Pesa but mbona Tabasam ulihit sana? Blue nnayemjua mimi sikuzote ndo huyuhuyu anayerap na kuimba,rap yake ndo ileile laini huwez ifananisha na ya kina Fid,ni rap ambayo hata nikiwa na shemeji yenu tunasikiliza pamoja.Mfano juz ni nilikuwa ufukwen na shemeji yako nikamuwekea kitu chenye mistari."Waandishi wa habari nao wanataka habari,Mi sina habari niko beach napata upepo wa bahari". Lol I really love the song
 
Chuki binafsi ivi unajua nyimbo ya pesa imeingiza shngp?
 
..humu sijui kama atausikia huo ujumbe, hata hivyo mr.blue ana mziki wake wa kipeke yake so kumwambia a switch kuwa kama msanii fulani haitasaidia..
 
Tunatumia pesaa tunazitafuta pesaaa pesaaa tutazipataaaa acha kabisa mr.blue anaichana kabisaa
 
Nadhani Blue anaendelea kupeta kwa sababu ya upekee wa style yake...jinsi anavyoimba na anavyorap kwa mapozi.....sasa unaposema amuachie FID sijui una maana gani...kama wewe ni mshabiki wa Fid basi vile vile kuna wanaomshabikia blue.

Ushauri wako ni mzuri lakini hebu pia uwalenge wenye uhitaji zaidi, waliopotea kwenye gemu kama kina Marlow, Chilla, Z anto, Buibui, Berry back na White, Stara, Manadojo na Domo, Mike tee...........
 
huo ushauri haumfai blue hata kidogo....mziki wake unampendeza sanaaa toka Tabasam mpaka Pesa hakuna alipokosea......nazan we jamaa hauujui mziki vzur ww!
 

Like.....πŸ™‚
 

Msalimie shemeji yetu.
 
byser anajua bana!...tatizo masikio ya wabongo wengi yameleweshwa na ladha za kidiamond dimpoz!....blue wa jana ndo huyuhuyu wa leo na kama unajua music huwezi kumdiss byser!tatizo upepo wa music kidogo umeharibiwa na uskelewu na u p square!so wakali wanaopiga ladha flani za kinyamwezi wengi wanaonekana kama hawako katika mstari!
 
Ameshakwambia alisha tembea kwa miguu na saiz ndinga unataka afanyeje sasa Blue yuko successful
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…