JJ10
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 282
- 133
Kiufupi ujio wako kwenye sanaa ya mziki ulikuwa mzuri sana' na nachelea kusema hata mashabiki walikupokea vizuri pia!
Ila sijui shetani gani alikupitia' au sijui ukajiona kwamba umekua na mziki uliokutoa ukadhani wakitoto, au pengine waliokushauri walikupoteza! Mim sijui wew mwenyewe unajua'' mda flani nikisikiliza vibao vyako kama 'blue blue', mapozi' na sema'' naona kabisa huko ulikoelekea umepotea kabisa!!
Sasa basi kukosea nikujifunza'' na kuanza upya sio ujinga!! Nakushauri mziki wa Hip Hop mwachie Fid Q na wengine wanouweza' rudi kwenye staili yako yakuimba tu utang'ara tu' vinginevyo huo ndo mwisho wako kimziki! Fata nyendo za Dully tu..
Ni mtazamo wangu kama unafaa fanyia kazi' haufai upotezee tu!!