4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Wakuu Mbingu zimeitika, niwasalimu kila mmoja kwa imani yake, hivyo hivyo neema ya Mungu ikawe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake Popote ulipo.
Rejea mada tajwa hapo juu ,
Leo namtaka msajili wa vyama vya siasa nchini tz kukifutilia mbali chama cha CCM nchini kama chama cha siasa.
Machawa watacheka sana husu andiko hili, maana wao huamini CCM ndo kila kitu, na tamko kama hili ni ufala tu maana nani hawezae kufuta chama ichi.
Sikia hii ni amri kuu toka kwa Mungu wangu, kwako msajiri wa yama vya siasa sio ombi ni lazima asema Bwana na huwezi jiuzulu, futa chama ichi mara moja, asema Bwana.
CCM Mungu amekinyima kibali cha kuongoza, hii nimesema mara nyingi tu. Ndo maana ya uyaonayo ndani ya chama ichi na yanayostahibisha mfano:
1. Mkutano wao wa kumpitisha Mgombea umeona nini kimetokea na nini kinaendelea
2. Zipo picha mbalimbali katika mitandao ya kijamii ,9 Green Gurd wakiwa wamevalia kijeshi kabisa katika uniform za ccm , maana nyingine CCM kama chama wenda kipo na vikosi nje wa utaratibu wa kisheria wa nchi, na wenda hawa ndo huchafua vyombo vyetu vya ulinzi katika timiza majukum yao halali ya kisheria.
3. CCM kama chama pamoja na kupata ruzuku ila Matumizi yake hayaeleweki, wenda katika kufungamana na mwenyekiti wao ambae ni Ris wa watu wote lipo jambo kwangu naliona kwa macho ya tatu, kuna tatizo, hizo pesa kwangu nasema na Mungu wangu anasema sio za ruzuku ya chama pekee, kuna shida.
Kwa kuanzia, Mungu anakutaka kukifuta chama hichi, sasa chagua kukifuta au ujiuzulu, Gharika kuu yaja na upanga mkali,asema Bwana .
Sioni tija kwako ingia katika msako huu wa Bwana ili hali huna hatia tofauti na kutekekeza .
Mungu akawe juu yako katika tekeleza haya ,sio ombi ni lazima tekeleza, kwamba futa chama hichi ,au jiuzulu asema Bwana.
Mengine nitakuandikia barua yako binafsi kwako .
MUNGU MWEMA.