Kwako Msajili wa Vyama vya Siasa; Ifute mara moja CCM, imekosa kibali cha kuongoza

Hahaha.....Ndio yule jamaa Mtungi?
Mkuu hata sijui ,cha msingi yupo ofisi ya kusajili vyama vya siasa na ni msajili wa vyama vya siasa ,atekeleze agizo hili bila shuruti, kuifuta ccm au kijiuzuru, na kama atajiuzulu ,atakae kuja pale nae awe na option hizo mbili.
 
Wakuu Mbingu zimeitika ,niwasalimu kila mmoja kwa imani yake , hivyo hivyo neema ya Mungu ikawe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake Popote ulipo.

Rejea mada tajwa hapo juu ,

Leo namtaka msajili wa vyama vya siasa nchini tz kukifutilia mbali chama cha CCM nchini kama chama cha siasa.

Machawa watacheka sana husu andiko hili, maana wao huamini Ccm ndo kila kitu, na tamko kama hili ni ufala tu maana nani hawezae kufuta chama ichi.

Sikia hii ni amri kuu toka kwa Mungu wangu, kwako msajiri wa yama vya siasa sio ombi ni lazima asema Bwana na huwezi jiuzuru, futa chama ichi mara moja ,asema Bwana.

Ccm Mungu amekinyima kibali cha kuongoza ,hii nimesema mara nyingi tu. Ndo maana ya uyaonayo ndani ya chama ichi na yanayostahibisha mfano:

1.Mkutano wao wa kumpitisha Mgombea umeona nini kimetokea na nini kinaendelea

2. Zipo picha mbalimbali katika mitandao ya kijamii ,9 Green Gurd wakiwa wamevalia kijeshi kabisa katika uniform za ccm , maana nyingine ccm kama chama wenda kipo na vikosi nje wa utaratibu wa kisheria wa nchi, na wenda hawa ndo huchafua vyombo vyetu vya ulinzi katika timiza majukum yao halali ya kisheria.

3.ccm kama chama pamoja na kupata ruzuku ila Matumizi yake hayaeleweki , wenda katika kufungamana na mwenyekiti wao ambae ni Ris wa watu wote lipo jambo kwangu naliona kwa macho ya tatu ,kuna tatizo ,hizo pesa kwangu nasema na Mungu wangu anasema sio za ruzuku ya chama pekee, kuna shida.

Kwa kuanzia ,Mungu anakutaka kukifuta chama ichi, sasa chagua kukifuta au ujiuzuru , Gharika kuu yaja na upanga mkali,asema Bwana .

Sioni tija kwako ingia katika msako huu wa Bwana ili hali huna hatia tofauti na kutekekeza .

Mungu akawe juu yako katika tekeleza haya ,sio ombi ni lazima tekeleza , kwamba futa chama ichi ,au jiuzuru asema Bwana.

Mengine nitakuandikia barua yako binafsi kwako .

MUNGU MWEMA.
😴😴😴
 
we bwege hakuana "chama cha CCM" Acha kutumia hicho kilevi
 
Mkuu hata sijui ,cha msingi yupo ofisi ya kusajili vyama vya siasa na ni msajili wa vyama vya siasa ,atekeleze agizo hili bila shuruti, kuifuta ccm au kijiuzuru, na kama atajiuzulu ,atakae kuja pale nae awe na option hizo mbili.
Hana cha kufanya na yeye uozo anauona.
 
Kwani CCM kilisajiliwa lini kama chama Cha siasa katika mfumo wa vyama vingi?

Sasa chama kisichokuwepo kinautwaje?

Tusubiri.
Kama hakina usajili , iweje kiitwe chama badala ya kuitwa kikundi cha wahuni tu.

Nchi inawezaje ongozwa na chama ambacho hakina usajili ,kama ni kweli hii inaweza kuwa zaidi ya hatari ,

Msajili futa usajili wa chama cha ccm mapema sana Mungu anakuagiza sio binadamu anaeagiza
 
Ndo maana amepewa option mbili, atimize wajibu wake au ajiuzuru, sasa nitamshangaa kama ataogopa sijui aliemteua ambae ni binadam, na kushindwa kutii amri ya Mungu , atajua hajui,

Msajili futa chama cha ccm ,Bwana anasema kwa sauti iliyo kuu, ni lazima sio ombi
CCM nasikia hakina usajili
 
Kuna mdau amenishutua sana ati ccm haina usajili? Hii haiwezekani may be alikua anatania.

kama ni kweli, hili litakua jambo la wakati mwingine

Kwa sasa kazi yangu nikumpa ujumbe msajili wa vyama vya siasa kama Mungu anavyomuagiza.

Futa chama cha ccm bila kuangalia mamlaka za kibinadamu , au jiuzuru
sio ombi ni amri
 
CCM nasikia hakina usajili
Ngoja mkuu tutafika, kama hakina kumbe ni kazi rahisi kwa msajili, kukipiga marufuku chama cha ccm kujiusisha na siasa ,na kuutangazia umma kwamba sio chama cha siasa tena Tanzania.

Kama kweli basi kama nchi ndo maana Mungu kapiga u - turn ya nguvu sana.

Yani makanisa ,misikiti iwe na usajiri ila chama cha siasa kisiwe na usajili , acheni utani wakuu
 
Tena chama dola
 
Ngoja mkuu tutafika, kama hakina kumbe ni kazi rahisi kwa msajili, kukipiga marufuku chama cha ccm kujiusisha na siasa ,na kuutangazia umma kwamba sio chama cha siasa tena Tanzania.

Kama kweli basi kama nchi ndo maana Mungu kapiga u - turn ya nguvu sana.

Yani makanisa ,misikiti iwe na usajiri ila chama cha siasa kisiwe na usajili , acheni utani wakuu
 
Kama hakina usajili , iweje kiitwe chama badala ya kuitwa kikundi cha wahuni tu.

Nchi inawezaje ongozwa na chama ambacho hakina usajili ,kama ni kweli hii inaweza kuwa zaidi ya hatari ,

Msajili futa usajili wa chama cha ccm mapema sana Mungu anakuagiza sio binadamu anaeagiza
Usajili haupo,

Msajili afuteje kisichokuwepo?
 
Shukrani mkuu , wewe upo sawa sawia na mzima.

Note
Binadam wote wapo na afya ya akili tofauti ni level tu.

Mfano una umri wa miaka 40 na ufanya mambo ya ya umri wa miaka 18 ,je tukuweke group gani? afya ya akili au umezaliwa upya?

Je wajua hata baadhi ya wato anzia miaka 3 huweza pata afya ya akili ? Unajua kitu inaitwa ADHD(anxiety disorders, attention deficit/hypersensitivity disorder) kama ndivyo mpaka mtoto / malaika anaweza pata afya ya akili , wewe ni nani useme huna afya ya akili pia , mpaka wananga wenzako.
Je wajua uchawa ni kati ya afya ya akili tena level ya juu kasoro tu imebakia pelekwa MILEMBE Hosp?

Mnazungumzia afya ya akili wakati iyo afya ya akili hamjui.

Sio shida ,tutawafundisha kidogo kidogo, alafu unasema nimekukumbusha utafiti , upi umefanya wewe juu ya afya ya akili, mnasoma magazeti ya kufungia mandazi then mnasema utafit, msalimie Bro
Inaonekana uko kwenye kiwango cha juu cha ugonjwa wa afya ya akili!
 
Back
Top Bottom