Kwako Msajili wa Vyama vya Siasa; Ifute mara moja CCM, imekosa kibali cha kuongoza

Hahaha.....Ndio yule jamaa Mtungi?
Mkuu hata sijui ,cha msingi yupo ofisi ya kusajili vyama vya siasa na ni msajili wa vyama vya siasa ,atekeleze agizo hili bila shuruti, kuifuta ccm au kijiuzuru, na kama atajiuzulu ,atakae kuja pale nae awe na option hizo mbili.
 
😴😴😴
 
we bwege hakuana "chama cha CCM" Acha kutumia hicho kilevi
 
Mkuu hata sijui ,cha msingi yupo ofisi ya kusajili vyama vya siasa na ni msajili wa vyama vya siasa ,atekeleze agizo hili bila shuruti, kuifuta ccm au kijiuzuru, na kama atajiuzulu ,atakae kuja pale nae awe na option hizo mbili.
Hana cha kufanya na yeye uozo anauona.
 
Kwani CCM kilisajiliwa lini kama chama Cha siasa katika mfumo wa vyama vingi?

Sasa chama kisichokuwepo kinautwaje?

Tusubiri.
Kama hakina usajili , iweje kiitwe chama badala ya kuitwa kikundi cha wahuni tu.

Nchi inawezaje ongozwa na chama ambacho hakina usajili ,kama ni kweli hii inaweza kuwa zaidi ya hatari ,

Msajili futa usajili wa chama cha ccm mapema sana Mungu anakuagiza sio binadamu anaeagiza
 
CCM nasikia hakina usajili
 
Kuna mdau amenishutua sana ati ccm haina usajili? Hii haiwezekani may be alikua anatania.

kama ni kweli, hili litakua jambo la wakati mwingine

Kwa sasa kazi yangu nikumpa ujumbe msajili wa vyama vya siasa kama Mungu anavyomuagiza.

Futa chama cha ccm bila kuangalia mamlaka za kibinadamu , au jiuzuru
sio ombi ni amri
 
CCM nasikia hakina usajili
Ngoja mkuu tutafika, kama hakina kumbe ni kazi rahisi kwa msajili, kukipiga marufuku chama cha ccm kujiusisha na siasa ,na kuutangazia umma kwamba sio chama cha siasa tena Tanzania.

Kama kweli basi kama nchi ndo maana Mungu kapiga u - turn ya nguvu sana.

Yani makanisa ,misikiti iwe na usajiri ila chama cha siasa kisiwe na usajili , acheni utani wakuu
 
Tena chama dola
 
 
Msajili anaweza kujifuta mwenyewe?
 
Usajili haupo,

Msajili afuteje kisichokuwepo?
 
Inaonekana uko kwenye kiwango cha juu cha ugonjwa wa afya ya akili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…