Funguka tuu mkuu usikae na dukuduku moyoniDada natamani nifunguke lakini mmh...!
Its bigger than is thought to be[HASHTAG]#sky[/HASHTAG] kuna kitu nyuma ya pazia ebu tuambie kinaga ubaga
maana taarifa yako ipo kama ina loading.........
Na ukielewa usilazimishe na wengine kua wameelewa.Usipoelewa usilazimishe eti na wengine hawajaelewa.
Mshana Jr kumbuka kuwa hapa duniani tunapita, kunipeleka ofisi ni kwako na kunilima cha moto kisa nimehoji uganga na elimu yako ya unajimu kweli hii umeona ni kumaliza matatizo?
Mshana Jr damu yangu itakulilia mpaka siku na wewe unaingia kaburini. Wewe hutaishi milele kaka yangu Mshana Jr
Sawa.Sio lazima kila mtu aelewe kama ulivyo elewa wewe,wengine tunajibu kutokana na thd tulivyoielewa,hii ni kiki ya kitoto kumpa huyo mshirikina wa jf hata kama thd ina maana nyingine.
Wala hukua ndotoni?Ni serious jamani
Mkewe alikuwepo? Nani shahidiHi
ameshaloga polisi wanamuogopa yeye na hata madaktari wanaogopa kunitibu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwanini hujaandika hivi> Ben Saanane alipohoji kuhusu elimu ya ******** alipotezwa.
Literature is a creation of another new world.
Literature transforms ordinary language and deviates systematically.