Kwako Mshana Jr

Kwako Mshana Jr

Mshana Jr kumbuka kuwa hapa duniani tunapita, kunipeleka ofisi ni kwako na kunilima cha moto kisa nimehoji uganga na elimu yako ya unajimu kweli hii umeona ni kumaliza matatizo?

Mshana Jr damu yangu itakulilia mpaka siku na wewe unaingia kaburini. Wewe hutaishi milele kaka yangu Mshana Jr
Vipi tena! amekubanjua kwa njia za kigiza? si unajua mpare yule.
 
Hi

ameshaloga polisi wanamuogopa yeye na hata madaktari wanaogopa kunitibu
Hahahaha! hizi imani hua mnazitolea wapi? au ndio amekupa kazi ya kuja kuwapumbaza watu humu? mwambie basi aroge ili aende akachukue hela zote zilizopo benki.
 
Mshana Jr kumbuka kuwa hapa duniani tunapita, kunipeleka ofisi ni kwako na kunilima cha moto kisa nimehoji uganga na elimu yako ya unajimu kweli hii umeona ni kumaliza matatizo?

Mshana Jr damu yangu itakulilia mpaka siku na wewe unaingia kaburini. Wewe hutaishi milele kaka yangu Mshana Jr
[emoji15] [emoji87] [emoji3] [emoji144] dada nimekusoma kwa herufi kubwa[emoji25] [emoji25] [emoji25]
 
Its a coded message in form of Kwa Mtogole drama.
Sio lazima kila mtu aelewe kama ulivyo elewa wewe,wengine tunajibu kutokana na thd tulivyoielewa,hii ni kiki ya kitoto kumpa huyo mshirikina wa jf hata kama thd ina maana nyingine.
 
Back
Top Bottom