Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji3] [emoji3] GT replySawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] GT replySawa.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mshana Jr anajina kubwa kuzidi Jf ..yenye .
Kukichwa kutapambazuka....Funguka tuu mkuu usikae na dukuduku moyoni
Kwa kweliKukichwa kutapambazuka....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hasa wale haters wa Jr walijua nimeshaharibu ndio maana wameshadadia mno....Umeweza kuzing'amua maana ktk kuperuzi na mimi ndio nimegundua hilo ha ha ha ila watu walivyojibu ni vichekesho sana maana wameuchukulia literally kumbe inabidi uitafakari kuijua
Nipo mbona?Mshana Jr njoo huku ututhibitishie
lol kumbe!! kiakili changu kiduchu mwenzio tehteh. kwahiyo anamaanisha nini kwani??
Tuambie ni kwa nini mlinaliu huyu dada....Hahahhaha
HahahahahahTuambie ni kwa nini mlinaliu huyu dada....
laaa! sasa hapo brother mshana unakosea kuniacha njia pandaIts bigger than is thought to be
hahahaMkuu funguka ili ueleweke zaidi kilichokupata,kukulima cha moto una maanisha nini?
Alinipiga sana lakini hakuna atakaeishi milele
Kabisa! Ujumbe wa Sky Eclat uko very clear, tazama response ya wadau sasa!! Ni balaa.Huu uzi ni kipimo tosha kuwa humu kuwa huwa tunabishana na wajukuu zetu!!!
Unahoji ULOZI wangu wewe kama nani!? [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji379] [emoji379] [emoji379]Amina
Na watu wanashindwa kufanya decoding!!Its a coded message in form of Kwa Mtogole drama.