Siku za ajabu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 1,369
- 986
Ukiona watu wanaongelea ulozi achana nao si wema kbsaaa siku nyingnw takecare.Mshana Jr kumbuka kuwa hapa duniani tunapita, kunipeleka ofisi ni kwako na kunilima cha moto kisa nimehoji uganga na elimu yako ya unajimu kweli hii umeona ni kumaliza matatizo?
Mshana Jr damu yangu itakulilia mpaka siku na wewe unaingia kaburini. Wewe hutaishi milele kaka yangu Mshana Jr
Mshana Jr kumbuka kuwa hapa duniani tunapita, kunipeleka ofisi ni kwako na kunilima cha moto kisa nimehoji uganga na elimu yako ya unajimu kweli hii umeona ni kumaliza matatizo?
Mshana Jr damu yangu itakulilia mpaka siku na wewe unaingia kaburini. Wewe hutaishi milele kaka yangu Mshana Jr
nlijua kakupiga dusheeeMakofi mazito
Naomba mtake radhi huyo ni dadaangunlijua kakupiga dusheee
naomba radhi ya dhati na wazi kwa woote!!Naomba mtake radhi huyo ni dadaangu
Asante sana kwa kuwa muungwananaomba radhi ya dhati na wazi kwa woote!!