Siku za ajabu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 1,369
- 986
Ukiona watu wanaongelea ulozi achana nao si wema kbsaaa siku nyingnw takecare.Mshana Jr kumbuka kuwa hapa duniani tunapita, kunipeleka ofisi ni kwako na kunilima cha moto kisa nimehoji uganga na elimu yako ya unajimu kweli hii umeona ni kumaliza matatizo?
Mshana Jr damu yangu itakulilia mpaka siku na wewe unaingia kaburini. Wewe hutaishi milele kaka yangu Mshana Jr