Kwako Mwanamke; Wewe ni mwanamke wa aina gani kati ya hawa?

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Jitazame wewe mwenyewe. Je, unaingia kwenye aina ipi kati ya hizo hapo chini?

Mimi niko namba 3 japo kuna wakati huwa nadondokea namba 2 pia

 
Hongera miss zomboko,
Kuna wanawake wenzako wanapenda KULA lkn hawajui kupika na hawapendi kupika.

Sasa sijui tuwafanyaje hawa wa dizaini hii [emoji46][emoji46][emoji46][emoji30][emoji30]
 
Hongera miss zomboko,
Kuna wanawake wenzako wanapenda KULA lkn hawajui kupika na hawapendi kupika.

Sasa sijui tuwafanyaje hawa wa dizaini hii [emoji46][emoji46][emoji46][emoji30][emoji30]
Wewe ni mwanamke wa aina gani?[emoji23]
 
Mwanamke bila kujua kupika ni shida, ila na mwanaume ni shida zaidi.....
 
Hahaha... kaone kwanza kalivyo kazuri...
Ndiyo maana ukaanguka kutoka kwenye nanilii wakati unapika...
Hahahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] usinikumbushe yaniiiiiii
 
Hapa momo sipo,lakini kiukweli watoto wa kike wa sasa sijui baadhi yenu mtafika wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…