Kwako Mzee Kinana; Kama kweli mmedhamiria kupambana na rushwa kwenye chaguzi za CCM basi anzeni na Kihongosi Katibu mkuu wa UVCCM

Kwako Mzee Kinana; Kama kweli mmedhamiria kupambana na rushwa kwenye chaguzi za CCM basi anzeni na Kihongosi Katibu mkuu wa UVCCM

Kwako Ndugu Kinana: Kama kweli mmedhamiria kupambana na rushwa kwenye chaguzi za CCM basi anzeni na Kihongosi Katibu mkuu wa UVCCM
Ha ha haa Tafakari yetu, yaani CCM ipambane na rushwa! Acha utani ndugu yangu au labda huijui CCM, unaisikia tu.

Kwa CCM rushwa ndio hewa ya oxygen, sasa si heri ungewashauri tu wajitundike kamba wajinyonge? Eti wapige vita rushwa, thubutu!

Kwa CCM rushwa ni msingi uliolibeba dude hilo, sasa wewe kama unataka waubomoe msingi si heri uwaambie tu wanywe/wameze sumu!

Kwa CCM rushwa ndio tawi lililowabeba, sasa kuwaambia wakate hilo tawi, ili iweje? Si heri wajirushe kutoka juu ya lile gorofa lao Lumumba!

Acha utani ndugu yangu, kwa CCM wala rushwa wakishughulikiwa nakuapia hapatabakia hata harufu ya mtu toka mdogo hadi mkubwa.

CCM ni ile ile, watu ni wale wale, rushwa iko pale pale!
Myu yeyote anayeishabikia CCM ni mla rushwa mtarajiwa>
 
Hili jamaa kihongosi jinga Sana. Lilikuwa linachapa watu wazima viboko makalioni hadharani lilipokuwa DC Arusha kwasababu ya ubadhirifu. Wakati huohuo yetye na mkurugenzi wa jiji walipiga hela za serikali...
Ndugu yako mwenyewe alikuwa zuzu, unajubalije kupingwa na mwanàume mwenzio!
 
Mambo mengine ni vichekesho, yaani Kinana ana usafi gani wa kuzuia rushwa? Ndio maana rushwa haiwezi kuisha CCM kama Kinana ndio anatakiwa aiondoe.
 
Back
Top Bottom