Kwako Mzee Wangu Mohammed Said

Kwako Mzee Wangu Mohammed Said

Mkuu Etugrul Bey

Mzee Mohamed anasema chaguzi hizi zinakinzana na katiba ibara ya 13 (4) (5)
Ambacho kinasema kuhusu ubaguzi wa aina yoyote ile.

Katika maneno yake mzee Mohamed inaonyesha dini ya kikristo inapendelewa zidi ya dini ya kiislamu.

Swali ni kwamba kulingana na kifungu hicho cha katiba serikali inatazama ufanisi na elimu ya mtu katika teuzi au inatazama Dini pasi na sababu hizo zingine kuwepo?

Lakini pia Mkuu;

Mbali na kuwepo kwa Raisi muislamu na waziri mkuu, mbali na kuwepo kwa usawa wa kupata elimu unafikiri ni Kwanini tatizo hili bado lipo?
Asante chief kwa maswali yako mazuri

Naamini wanaangalia elimu ya mtu na dini yake pia katika teuzi mbali mbalia

Huenda wenye vigezo stahiki wapo upande wa waislamu na wakristo lkn mwisho wa siku udini unachukua mkondo wake,,katika karne hii hakuna kigezo cha kumkandamiza muislamu kuwa hana elimu,,huko zamani labda tutaelewa lkn karne hii waislamu wamesoma na wana taaluma mbali mbali,,,lkn wanasema ukitaka kumuua mbwa basi mpe jina baya

Kwahiyo jina linalo tumiwa na wasio waislamu dhidi ya waislamu ni kusema waislamu wamebobea katika elimu akhera,,,ukishasema hivyo basi unapata uhalali wa kumnyima teuzi kwa kigezo kuwa waislamu wenye elimu ni wachache,,,siku hizi watafute sababu nyingine na siyo hii.

Lakini katika swali lako la pili,,pamoja na kuwa na raisi muislamu na waziri mkuu muislamu je kwanini hali hii bado inaendelea.

Mosi huenda raisi ni mtu wa kuletewa majina tu na mapendekezo na kutakiwa kuidhinisha pasina kuhoji kwanini imani fulani ndio wako wengi humu.
Lakini pili huenda waislamu kwa hulka yao ya mafundisho ya dini wamehusiwa sana kuwa na subira na uvumilivu,,labda hili linawapelekea kuivumilia hali hii

Tatu kwa mtazamo wangu labda huenda linafanywa hili makusudi kubalance mzani kati ya tanzania bara na visiwani,kwa maana sehemu moja ya nchi waislamu wanachukua sehemu kubwa ya madaraka kwa maana waislamu tu huko zanzibar na kuona basi huku bara wakristo nao wawe wengi,,,inawezekana pia ikawa ni kigezo cha kufanya haya wanayo fanya.
 
Sasa ni lini kilio cha mohamed said kulilia haki za waislam wa tanganyika wajazwe kwenye teuzi kitasikilizwa ili aache kuandika uchochezi wa kidini? Ni ajabu atokee mwanahistoria kama mohamed said ila awe wa dini nyingine naye aanze kuandika watu wa imani yake hawapewi teuzi
 
Kwa nini mnataka kuleta uwiano kwa jambo ambalo ndani yake hakuna uwiano?

Hata ukikataa kwa takwimu zako Uchwara, idadi ya wasomi Wakristo ni kubwa mara tatu ya idadi ya Waislamu wasomi.

Sasa, kwa nini kundi dogo lipewe kipaumbele katika teuzi kwa minajili ya kuleta uwiano sawa wa kidini? Unataka mtu apewe nafasi kwa sababu tu ni wa dini fulani ili kuleta balansi? Kufanya hivyo tutakuwa tunatengeneza taifa la hovyo.

Lakini ukweli ulio wazi pia ni kuwa, idadi ya Wakristo Tanzania ni kubwa zaidi ya waislamu. Pamoja na kujitahidi kwao kuzaa ovyo ili kupata wafuasi wengi, lakini bado idadi yao ni ndogo mno. Na kuzaa huko kunazalisha idadi ya wahuni wengi wa dini husika.

Kwa nini tulete balansi kwenye sehemu penye uwiano usio sawia?

Mzee wangu Mohammed aache inferiority complex.
Mfano mtu aende chuo chochote iwe udsm, sua, mzumbe n.k fanya utafiti kwa kuuliza dini za wanafunzi utaona wanafunzi waislamu ni wachache sana sio wengi
 
Sasa ni lini kilio cha mohamed said kulilia haki za waislam wa tanganyika wajazwe kwenye teuzi kitasikilizwa ili aache kuandika uchochezi wa kidini? Ni ajabu atokee mwanahistoria kama mohamed said ila awe wa dini nyingine naye aanze kuandika watu wa imani yake hawapewi teuzi
Loth...
Haki za Waislam.
Uchochezi wa kidini.

Nakujibu kwa kukuonyesha ninavyofahamika katika tasnia ya usomi (scholarship) na uandishi.

Tafuta humo haki za Waislam na Uchocezi wa Kidini.
Ukipata tafadhali weka hapa ili sote tuone na kusoma tuhuma zako:

PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam.

Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam.

Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.

The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam.

Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam.

Sal Davis, An Autobiography, Readit/Amazon, 2023, Dar es Salaam.

In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi).

The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’
(Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).

Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).

Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).

Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).

Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.

Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Awards:
Several Awards.

Visiting Scholar: (2011)
University of Iowa, Iowa City, USA.
Northwestern University, Chicago, Illinois, USA.
Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

OTHER COUNTRIES VISITED
Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.

Loth...
Haki za Waislam.
Uchochezi wa kidini.

Nakujibu kwa kukuonyesha ninavyofahamika katika tasnia ya usomi (scholarship) na uandishi.

Tafuta humo haki za Waislam na Uchocezi wa Kidini.
Ukipata tafadhali weka hapa ili sote tuone na kusoma tuhuma zako:

PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.
Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam
Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam
Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam
Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam
The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam
Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam
Sal Davis, An Autobiography, Readit/Amazon, 2023, Dar es Salaam
In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).
Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.
Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
Awards: Several Awards​
Visiting Scholar: (2011)
University of Iowa, Iowa City, USA
Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin
OTHER COUNTRIES VISITED
Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.

Ego
 
Yes nakutambua kama mdini namba moja hapa Tanzania. Unatamani kuona Tanzanian wanaoshamiri ni waislamu tu. Kumbuka hii nchi haina waislam na wakristo pekee, unakosea sana.
Peaky...
Hujanitambua bado.
Soma historia hiyo hapo chini:

IKIWA HUJAPATAPO KUZIONA TARIFA ZA KIKACHERO ZA SPECIAL BRANCH 1950s
"Tanganyika Political Intelligence Summary, March 1952":

"...it is reported that the Secretary of the Association, Abdul Wahid Sykes has dispatched letters to all branches asking members for suggestions under the following heads for a memorandum to be prepared for the Royal Commission..."

...Abdul Wahid Kleist Sykes, Secretary of the African Association who, as reported in last month's summary (paragraph 20) was going on safari up country, visited Mwanza, where he met Paul Bomani, President of the Bukoba African Association, and accompanied him to Bukoba. Sykes then visited Kampala alone..."

Mwaka huu wa 1950 Abdul Sykes akiwa Secretary wa TAA na mjumbe wa TAA Political Subcommittee, Abdul alikuwa na umri wa miaka 26.

Kijana mdogo sana.
Jomo Kenyatta alikuwa na miaka 56.

Jomo Kenyatta kazaliwa mwaka wa 1894 sawasawa na umri wa Kleist Sykes baba yake Abdul ambae alikuwa kafariki mwaka wa 1949.

Utaweza vipi kuandika historia ya TANU na harakati za kudai uhuru wa Tanganyika ukaacha historia kama hii na wala usiwataje wahusika wa harakati hizi?

Kisha anatokea mtu anasema kuwa chama cha TAA kilikuwa chama cha starehe.

Ningeweza kueleza mengi katika uandishi wa historia ulifanywa na Chuo Cha CCM Kivukoni lakini tutosheke na haya.

Kila nipitapo mitaa ya Maktaba nakutana na kumbukumbu hizi.

Hizi ni taarifa kutoka Rhodes House Library, Oxford kutoka majalada ya kikachero ya Waingereza baada ya miaka 50 yanawekwa wazi kwa mtafiti yeyote kuyasoma na kufanya nakala akipenda.

Historia hii alinihadithia Mzee Ahmed Rashaad Ali tumekaa nyumbani kwake Ali Hassan Mwinyi Road tunazungumza.

Ahmed Rashaad Ali ni huyo kuliwa kwa Jomo Kenyatta.

Mzee Rashaad aliniomba nisimtaje jina katika kitabu cha rafiki yake Abdul Sykes nilichokuwa natafiti.

Wakati huo nilikuwa sijapata nyaraka hii ya Special Branch.

Siku nilipoletewa nyaraka hii nilinyanyua mikono juu kumshukuru Allah kwa kuthibitisha kile ambacho Mzee Rashad alinieleza.

Wakati huu Mzee Rashad alikuwa tayari keshafariki.

Huko tulikotoka miaka hiyo watu walikuwa wakihofu kueleza historia ya kweli ya TANU.

Hakika tumetoka mbali na leo ukweli umedhihiri.

1715784603383.jpeg

1715784677428.jpeg

1715784732006.jpeg

Sasa ume copy thread nzima kunijibu😂
Tatizo lako, uhujibu ulichoulizwa, unaleta story ndefu ku justify udini wako.
 
Ikiwa hujapendezewa na historia hiyo hapana neno.
Unaweza kuniita upendavyo kama akili yako inavyokutuma.

Watu hawawezi kukubalina kila kitu ightilafu ni moja ya silka ya sisi binadamu.
Wako waliosoma historia hii wakanialika kwenye vyuo vyao nikazungumze.

Na sijui kitabu hiki kimeuzwa nakala ngapi hadi sasa kwani kimechapwa mara nne na kina kwenda toleo la tano.

1715789101467.jpeg

1715789043631.jpeg

Ukiitwa au kitabu kikisomwa na wangapi sio issue. Tuambie kimeleta impact gani katika jamii?
 
Sawa unaheshimika kwa uandishi wako hata mimi binafsi nakuheshimu na huwa nafuatilia mahojiano yako unayofanyiwa na media mbalimbali za ndani na kimataifa. Hoja yangu ni kwamba kwanini unaegemea sana kwa waislam wenzako wakati nchi iliachana na sera za udini katika kuendesha nchi? Udini ulikemewa sana mara baada ya uhuru wa tanganyika kupatikana ili kuwa na taifa moja lisilo na migawanyiko ya kidini. Tanzania ni nchi ya kisekula, si nchi ya kidini
 
Huyu Mohamed Said ni mdini tu anaetapatapa. Ukitaka kujua hilo soma vitabu vyake vyote uone na articles zake, mahojiano anayifanyiwa, utagundua huyu ni activist wa Islamic ingefaa apewe nafasi pale bakwata.
Kangekuwa bado ka kijana kangejiunga hata na Alshabab haka! Kazee kana udini sana! Ila kakiwa kanasimulia zile harakati za pale Kariakoo wakati ule huwa kanaburudisha sana, mitaa yote kanaijua!
 
Back
Top Bottom