Teh life is YOLO Kasie,dance like there's nobody watching,
Sing like there's nobody listening,
And live like it's heaven on earth....
Enjoy it[emoji9]
Nimekataa kutumwa sisalimii yeyote yule akuu
Good[emoji39] next mpeleke na NNThat was Friday night.... I had a remix to infinity the show was superb and now am back to my senses.....
Kasie
Usijali maana yake ni......Hicho kidhungu umetuficha nini? Kasinde & Nyani Ngabu....wenzenu tumeishia drs la 6 huku uswaz[emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13]
Anakuja, ngoja tumalize kuogeshana[emoji126]
Basi msalimie tuHajambo sana katulizana hapa...
Mtu mwenyewe domo zege akinyanyua mdomo utasikia ba be bi ba buu hapo ndo kasema bebii khaa saa nikimpeleka machimbo yangu si ndo atakuwa bubu kabisa..... ya nini akuuuuu........Ha haa we unampeleka anahudumia yeye bana
Domo zege[emoji15] [emoji87]Mtu mwenyewe domo zege nikimpeleka machimbo yangu si ndo atakuwa bubu kabisa..... ya nini akuuuuu........
Nikiendelea zaidi ntavujisha siri ya kambi maana nisivo na break za mdomo.........
Nimeishia hapo....πππ
Mtu mwenyewe domo zege akinyanyua mdomo utasikia ba be bi ba buu hapo ndo kasema babii khaa saa nikimpeleka machimbo yangu si ndo atakuwa bubu kabisa..... ya nini akuuuuu........
Nikiendelea zaidi ntavujisha siri ya kambi maana nisivo na break za mdomo.........
Nimeishia hapo....πππ
Hahahaaaa nyie watu kwa nini lakini?
Huyo mwenzio 'Valentina' juzi kanianika humu - kaweka picha yangu ili nidhihakiwe.
We nawe leo unasema ati mi ni domo zege.
Nipeni nafasi basi nami ya kupumua.
Fcuk you, though.