Kwako Nyani Ngabu, how deep

Kwako Nyani Ngabu, how deep

Teh life is YOLO Kasie,dance like there's nobody watching,

Sing like there's nobody listening,
And live like it's heaven on earth....

Enjoy it[emoji9]

That was Friday night.... I had a remix to infinity the show was superb and now am back to my senses.....

Kasie
 
Hicho kidhungu umetuficha nini? Kasinde & Nyani Ngabu....wenzenu tumeishia drs la 6 huku uswaz[emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13]
 
Sounds like the story of Halle Berry having a crush on David Justice.........
 
Hicho kidhungu umetuficha nini? Kasinde & Nyani Ngabu....wenzenu tumeishia drs la 6 huku uswaz[emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13]
Usijali maana yake ni......

Mahaba ya dhati... yamenipitia.........
.........oooooohhhhh kuliko mahaba haya.......

Mahaba ya dhati.... yamenipitia...... Kasinde mimi nimehorojeka kwa mnyatuzu ooohhh sijawahi onja mahaba kama haya.... ooh mahaba ya dhati....
 
Me.... nimpeleke NN chimbo....?? naah. ...

Mie hata siku moja sipeleki mwanaume chimbo yeye ndo ajipange anipeleke chimbo vinginevyo atasubiri sana.
Ila babu Asprin ntampeleka [emoji14][emoji14][emoji14]
Ha haa we unampeleka anahudumia yeye bana
 
Ha haa we unampeleka anahudumia yeye bana
Mtu mwenyewe domo zege akinyanyua mdomo utasikia ba be bi ba buu hapo ndo kasema bebii khaa saa nikimpeleka machimbo yangu si ndo atakuwa bubu kabisa..... ya nini akuuuuu........
Nikiendelea zaidi ntavujisha siri ya kambi maana nisivo na break za mdomo.........

Nimeishia hapo....😀😀😀
 
Mtu mwenyewe domo zege nikimpeleka machimbo yangu si ndo atakuwa bubu kabisa..... ya nini akuuuuu........
Nikiendelea zaidi ntavujisha siri ya kambi maana nisivo na break za mdomo.........

Nimeishia hapo....😀😀😀
Domo zege[emoji15] [emoji87]
 
Mtu mwenyewe domo zege akinyanyua mdomo utasikia ba be bi ba buu hapo ndo kasema babii khaa saa nikimpeleka machimbo yangu si ndo atakuwa bubu kabisa..... ya nini akuuuuu........
Nikiendelea zaidi ntavujisha siri ya kambi maana nisivo na break za mdomo.........

Nimeishia hapo....😀😀😀

Hahahaaaa nyie watu kwa nini lakini?

Huyo mwenzio 'Valentina' juzi kanianika humu - kaweka picha yangu ili nidhihakiwe.

We nawe leo unasema ati mi ni domo zege.

Nipeni nafasi basi nami ya kupumua.

Fcuk you, though.
 
Get lost...... A bully does not ask for a chance to breath he just sniff in and out with his nose up like when smelling a ...... odour 🙂🙂🙂
 
Back
Top Bottom