Kwako Nyani Ngabu, how deep

Kwako Nyani Ngabu, how deep

Nilikuwa nna mpango wa kukuchunia mwaka mzima lakini nimekusamehe....

Haya nambie nlichokukosea nikutake radhi kabla kwaresma haijaisha

Babu hujanikosea. ....Ukinitaka radhi naweza kuchukuliwa na Malaika Gabriel haraka kabla ya muda. ....

Wajukuu wa huku A Town wanakusalimia. ..
Vitukuu pia vinakusalimia. ....
 
Back
Top Bottom