Kwako Prof. Janabi, Heshima yako na hongera sana kwa kuitendea haki taaluma yako vyema

Aseeeee
 
Hongera kwake ....najua watu we.gi walimchukia alipoletwa ghafla toka ikulu....baada JK muda kwisha..wakamchukia sana nadhani sasa wamepoa na mambo yaenda sawa
Hapa kuna jambo kubwa sana hila wachache wanaweza kukuelewa.

Maisha yanaenda kwa kasi ajabu!.
 
Naunga mkono hoja, huyu jamaa sio mchezo, namkubali sana. Hata kwenye Corona ni yeye pekee aliongea ukweli kuhusu corona
P
 
Sikumuona wala kusikia alichosema lakini kwa maelezo yako nimeelewa, asante sana, ilipaswa mtoa mada aandike na haya uliyoandika wewe
 
Kumbe ilikuwa inawezekana kusema ukweli na usifanywe kitu!
 
Yuko vzr, hii nchi maprofesa tumebaki wachache ukiacha wale wa jalalani[emoji848]
 
JKCI ndio nini ?
 
Maprofessa tanzania hawana tofauti na watu wa kitaa cha keko baadhi yao
 
Mungu akutangulie prof.janabi endelea kuwasaidia watanzania,pamoja na wale wachache wanaokusema vibaya,uwasamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…