silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,278
- 1,794
- Thread starter
-
- #21
unaongea bila kujua unachoongea, mambo haya yalikuweko wakati Magufuli, mpaka kina Sabaya walikua wanapita madukani kudai kodi, matokeo yake biashara nyingi zikafungwa au zikafa. sasa hivi Sabaya yuko Mahakamani na Serikali pamoja na tra wamemkana.Kuna point umeigusia hapo na hiyo ndio inayosababisha wapiga deal walielie.
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Nadhani wewe ndio unaongelea kwa ushabiki ama kwakuwa wewe ni mnufaika mojawapo wa wanao banwa sasa. Zanzibar umwinyi ulikuwa umezidi, watu walikuwa wanatoa mizigo sawa na bure kisa ni mtu fulani. Nimeishi Zanizbar mika 7 hivyo bafahamu vizuri sana jinsi mambo yanavyoenda hukounaongea bila kujua unachoongea, mambo haya yalikuweko wakati Magufuli, mpaka kina Sabaya walikua wanapita madukani kudai kodi, matokeo yake biashara nyingi zikafungwa au zikafa. sasa hivi Sabaya yuko Mahakamani na Serikali pamoja na tra wamemkana.
huwezi kuweka viwango vikubwa halafu ukalazimisha watu walipe ukategemea matokeo chanya.
Mwinyi anataka mapato ili kuwe na maendeleo, yawezekana wewe hutaki serikali ikusanye ili uwe na fedha nyingi na serikali isiwenazoKama shamba la bibi lete basi na wewe mzigo wako halafu utoe kama sanduku la harusini
Aisee mimi naongelea uhalisia, sikatai Umwinyi Zanzibar upo na unasababishwa na hao hao vigogo wa chama na Serikali, lakini tukiachilia hayo hali imekua ngumu mno.Nadhani wewe ndio unaongelea kwa ushabiki ama kwakuwa wewe ni mnufaika mojawapo wa wanao banwa sasa. Zanzibar umwinyi ulikuwa umezidi, watu walikuwa wanatoa mizigo sawa na bure kisa ni mtu fulani. Nimeishi Zanizbar mika 7 hivyo bafahamu vizuri sana jinsi mambo yanavyoenda huko
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
nyie watu mnaongea kwa kuwa mna maslahi binafsi, kama anataka mapato kwa nini asidhibiti matumizi ya Serikali pamoja na upotevu wa fedha za umma. Wewe ni mwenyewe ni Shahidi Mheshimiwa Rais kila siku analalamika fedha za Serikali zinavyoibiwa. Mfano ripoti ya CAG inaonyesha katika fedha tsh bilioni kumi za matengenezo ya barabara ni bilioni moja tu ilitumika , bilioni 9 hazijulikani zilipo , kuna Wizara zimegoma kabisa kukaguliwa kama Wizara Ya Fedha , kuna taasisi zimegoma kuorodhesha mali za serikali, achilia mbali magari ya kifahari wanayotembelea watendaji wa serikali. Taasisi za serikali zinatumia magari ya milioni 100-250 wakati gari za milioni 30-40 zipo tena nzuri na ndio wananchi wa kipato cha juu wanaoziendeshaMwinyi anataka mapato ili kuwe na maendeleo, yawezekana wewe hutaki serikali ikusanye ili uwe na fedha nyingi na serikali isiwenazo
Hapo umesema.Ombwe la wafanyabishara kuwa viongozi kwenye nafasi ya juu kabisa unaweza kuona anafanya biashara ya 10per.
kilichomfelisha ni mipango mingi wakati pesa hana
HUU UCHOCHEZI SASASi ndo maana waliweka tozo za miamala. Ili pesa ipelekwe Zenji