Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Pesa sabuni ya roho ukiwekeza tamaa ndio unaisha aisee jamaa nusu makachero wamtoe kichwa na ubongoMtatukanwa sana taka taka hamna pesa mbwaaa na mengineyo mengi tu , na vijana watavuliwa ubingwa sana kwa tamaa za kijinga
Lakini Magufuri aliwaweza hawa watuShida HATA wakikanatwa wanataka wanakurudia Tena na zamu hii wanakuja na pigo takatifu aka kitu kizitooo..awakuachii
😀😀😀 Ni balaa sana mkuu kama hapa kitaani kwangu Kuna bidada ndoto zake kuwa pornstar harakati zake miyeyusho sana 😀 😃Bora ubongo kuliko wanakuja pdidy.usa
Ni sisi raia mkuu. Tumekubali kutawaliwa na watu wanaoweka maslahi yao binafsi mbele. Tukitaka siku moja tu wote wanatimka.Dah mtumish nani alaumiwe?
Huku kigamboni nakutana sana na viroba vya bange mzigo kutoka morogoro aisee hii biashara ngumu sana kuzuia ngumu mnoLakini Magufuri aliwaweza hawa watu
Bas huyu mama kazoofika sana
Cha mtotoHuku kigamboni nakutana sana na viroba vya bange mzigo kutoka morogoro aisee hii biashara ngumu sana kuzuia ngumu mno
Ni balaa sana!Cha mtoto
Mabasi ya Nairobi yana SEHEMU yakifika yanashusha mzigo kabla ya kibaha
Gafla unasikia ambulance inawapitaa noliinoliiiii unahisi wanawahi kwa mwamposaa weweeeeee
Kaushaaa chain nzitooo
Wavuta unga hawalazimishwi wajipeleka wenyewe, kosa si la muuza unga. Wakabaji wakamatwe wapelekwe mahakamani.Anaitwa mama Habi. Anaishi maeneo ya Makazi Mapya Mbezi Beach
Serikali za mitaa wanamjua na wananchi walishapeleka taarifa zote juu ya mtandao wa huyu dada
Huyu dada anaishi na wahuni wa Kawe wanaokaba na kuumiza watu. Wanavamia usiku nyumba za watu na kuwajeruhi kabla ya kuwaibia tv, simu nk. Baada ya kuiba hukimbiza nyumbani kwa huyu dada na kuvihifadhi
Polisi Kawe wameshajulishwa na wameishia kwenda pale na kuondoka kila wiki sasa sijui wanafanya ukaguzi ama lah
Wiki iliyopita nyumba zaidi ya 4 zimeibiwa simu tv na baadhi ya viooo vya magari na bajaji
Huyu dada alishawahi kukamatwa na alipotoka aliwambiwa watu yeye ni mwamba na hakuna wa kumfunga kamwee
Sasa kinachoendelea huyu dada amefungua pub kama kujificha na kuwalinda wale wahuni
Ukufika palee unaonaa wahuni wakikaa nje na kuvuta bangi nk
Majuzi tu wamepiga na kupora watu saaa saba mchana mazimaaaa
N kama vile wanaserikali yaoo ama lah
Tunaomba RPC, Hili suala polisi Kawe wanajua
Vijana wameathirika hivi tunaandika kuna makundi yanatoka upande wa JK shule kwenda kwa huyu dada kununua skanka
Na wanapovuta zikiwapanda wanaanza kuwangangania watu ovyo na kuwaibia
Vijana wanangamia tunaomba okoa vizazi vya mbezi beach mh rpc
Kwa habari zaidi kuwapata wasilianen na serkl za mitaa watawaeleza kila kitu juu ya uchafu wa hii sehemu ya dada yetu
Mungu ibariki tanzania
Unaweza ukanitajia bus lolote la Nairobi linalopita Kibaha?Cha mtoto
Mabasi ya Nairobi yana SEHEMU yakifika yanashusha mzigo kabla ya kibaha
Gafla unasikia ambulance inawapitaa noliinoliiiii unahisi wanawahi kwa mwamposaa weweeeeee
Kaushaaa chain nzitooo
Biashara haramu lazima ipigwe vita, Acha kutetea ujingaIshi maisha Yako mzee acha shobo na biashara za watu wamewekeza mamilioni wewe unakuja kishusha gazeti lako hapa jamii forum
Labda polisi wasitoke kaweItapita Operation kimbunga huko kawe maana ushatumbua JIPU kila mtu atajifanya anafanya kazi.
Noma sana ,na inaonekana wapo kwenye payroll ya huyo "MAZA".Labda polisi wasitoke kawe
Kituo cha kawe ni rushwa pesa
Mbele
Ova
Kulikuwa na mjaluo mmoja pale hatari sanaUmenikumbusha enzi za billicanas kile kichichoro chetu aisee hakuna kinashindikana bongooo
Vibandaaa VINNE vinaamua hatimae yakoo upatee kazi wapii ukasomee wapiii na watu wametoboaaaaaaa
MUNGU awalindee sana wale jamaa aisee kama wako haiii..ingawa wali Fanya ufadhihinaa lakini walisaidia familia nyingi sanaa
Wako kwenye payroll polisi wa kaweNoma sana ,na inaonekana wapo kwenye payroll ya huyo "MAZA".