DOKEZO Kwako RPC; Mama huyu anayeuza dawa za kulevya Mbezi Beach anaharibu kizazi na kuhifadhi mali za wizi

DOKEZO Kwako RPC; Mama huyu anayeuza dawa za kulevya Mbezi Beach anaharibu kizazi na kuhifadhi mali za wizi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huku kigamboni nakutana sana na viroba vya bange mzigo kutoka morogoro aisee hii biashara ngumu sana kuzuia ngumu mno
Cha mtoto
Mabasi ya Nairobi yana SEHEMU yakifika yanashusha mzigo kabla ya kibaha

Gafla unasikia ambulance inawapitaa noliinoliiiii unahisi wanawahi kwa mwamposaa weweeeeee

Kaushaaa chain nzitooo
 
Anaitwa mama Habi. Anaishi maeneo ya Makazi Mapya Mbezi Beach

Serikali za mitaa wanamjua na wananchi walishapeleka taarifa zote juu ya mtandao wa huyu dada

Huyu dada anaishi na wahuni wa Kawe wanaokaba na kuumiza watu. Wanavamia usiku nyumba za watu na kuwajeruhi kabla ya kuwaibia tv, simu nk. Baada ya kuiba hukimbiza nyumbani kwa huyu dada na kuvihifadhi

Polisi Kawe wameshajulishwa na wameishia kwenda pale na kuondoka kila wiki sasa sijui wanafanya ukaguzi ama lah

Wiki iliyopita nyumba zaidi ya 4 zimeibiwa simu tv na baadhi ya viooo vya magari na bajaji

Huyu dada alishawahi kukamatwa na alipotoka aliwambiwa watu yeye ni mwamba na hakuna wa kumfunga kamwee

Sasa kinachoendelea huyu dada amefungua pub kama kujificha na kuwalinda wale wahuni

Ukufika palee unaonaa wahuni wakikaa nje na kuvuta bangi nk

Majuzi tu wamepiga na kupora watu saaa saba mchana mazimaaaa

N kama vile wanaserikali yaoo ama lah

Tunaomba RPC, Hili suala polisi Kawe wanajua

Vijana wameathirika hivi tunaandika kuna makundi yanatoka upande wa JK shule kwenda kwa huyu dada kununua skanka

Na wanapovuta zikiwapanda wanaanza kuwangangania watu ovyo na kuwaibia

Vijana wanangamia tunaomba okoa vizazi vya mbezi beach mh rpc

Kwa habari zaidi kuwapata wasilianen na serkl za mitaa watawaeleza kila kitu juu ya uchafu wa hii sehemu ya dada yetu

Mungu ibariki tanzania
Wavuta unga hawalazimishwi wajipeleka wenyewe, kosa si la muuza unga. Wakabaji wakamatwe wapelekwe mahakamani.
 
Cha mtoto
Mabasi ya Nairobi yana SEHEMU yakifika yanashusha mzigo kabla ya kibaha

Gafla unasikia ambulance inawapitaa noliinoliiiii unahisi wanawahi kwa mwamposaa weweeeeee

Kaushaaa chain nzitooo
Unaweza ukanitajia bus lolote la Nairobi linalopita Kibaha?
 
Umenikumbusha enzi za billicanas kile kichichoro chetu aisee hakuna kinashindikana bongooo

Vibandaaa VINNE vinaamua hatimae yakoo upatee kazi wapii ukasomee wapiii na watu wametoboaaaaaaa

MUNGU awalindee sana wale jamaa aisee kama wako haiii..ingawa wali Fanya ufadhihinaa lakini walisaidia familia nyingi sanaa
Kulikuwa na mjaluo mmoja pale hatari sana

Ova
 
Back
Top Bottom