DOKEZO Kwako RPC; Mama huyu anayeuza dawa za kulevya Mbezi Beach anaharibu kizazi na kuhifadhi mali za wizi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ebu tuwekwe picha yake tafadhali!
 
Utakuta hao walinda usalama wako kwenye payroll ya dada. Kazi mnayo.....
 
Hii ni hatari sana...RPC aingilie kati wananchi wanateseka na vijana wanazidi kuteketea
MKUU kila bar na pub za mbezi beach unakuta vijana wako hoi wamechoka na madawa na bangi
 
Hivi hakuna namna waziri apewe wizara kusafisha walau mwezi mmoja kisha aendelee na wizara yake permanent? Maana alifaa Mh.Gwajima walau mwezi mmoja tu asasfishe hapa
 
Kwa hiyo ina maana wamejitengenezea kamradi hapo
Kila wakienda wanachukua chao wanasepa
Halafu mnasema mnalindwa na wazalendo kuwa tuko salama
 
Kama umeweza hadi ku andika kwa sentensi na sarufi sawia bhas nakubalii kwamba huyo dada ni jabali na tishio hayo maeneo yenu.

Wahusika watajua namna ya kufanya hapo.
 

Ukitaka RPC afike sasa hivi mwambie CDM wako hapo Pub wanapanga maandamano! Hiyo Pub itavunjwa fasta bila kuuliza
 
Umesikika
 
NKAHISI mwamba anataka kytusahaulishaa nn YAAN nilikuwa choon kama dk 7 sikojii sinyi nasikilizia kama KUNA tukio nkarudi mezan weeweee
Mzee tulia pombe ziishe uandike vizuri
 
Wanaume wa Daslam mnatia aibu aisee yaani Mwanamke anawakosesha usingiz kweli? Emu badiliken bwana!!
 
Eleza vizuri, anakaa nyumba namba ngapi na mtaa upi, weka na picha yake kabisa
 
Ishi maisha Yako mzee acha shobo na biashara za watu wamewekeza mamilioni wewe unakuja kishusha gazeti lako hapa jamii forum
We choko mfokoleww kinyesi nini?!! Watu wanakabwa na kuibiwa mali halafu unaongea utaahira gani hapa?
 
Ahsante kwa taarifa nzuri ndugu mkongwe pdidy.. pia ahsante kwa muandiko murua kweli mwaka mpya mambo mapya
 
Tunaoteseka ni sisi tunaoishi around hayo maeneo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…