DOKEZO Kwako RPC; Mama huyu anayeuza dawa za kulevya Mbezi Beach anaharibu kizazi na kuhifadhi mali za wizi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kumbe ni kama mitaa ya Porte au Prince - Haiti.
Kule Arusha kuna ule mtaa hata askari walikuwa wanasanda - umeshakuwa mada humu.
Mada kama hizi ndio zinsipaishs JF, sio ushetani unaonadiwa humu
 
Kwahiyo unadhania Jeshi la polisi halimjui?,ama unafikiri wauza Unga ni watu mpechempeche?,pale MNH METHADONE NDIO SOKO KUU LA UNGA,NA NDIO MAANA KUNA CENTRE YA MATEJA PALE,NENDA MIDA KUANZIA SAA TISA USIKU SIMAMA MAENEO YA HOSTEL ZA WATOTO WENYE VICHWA VIKUBWA NDIO UTAJUA, ZINAINGIA NDINGA AMBAZO HUJAWAI KUDHANIA KAMA KUNA WATU WANAMILIKI BONGO TENA WANAUZA KWA USHINDANI,
 
Polisi wa kituo cha Kawe kwa Kupenda Posho tu n hatari.
Wana Njaa kali sana
 
Kumbe pdidy huwa unaandika vzr hvi bila kuchapia chapia? Au huwa unajifanyisha...
Au umeibiwa kitu chako cha thamani mpaka mwandiko umenyooka..hahah pole
Huyu mwamba nilimshtukia kitambo. Akili yangu inaniambia ni msomi mzuri tu ila kuandika vile ni kuzidi kuficha identity yake. Vitu anavyochangia sometimes ni vya mtu mwenye digrii ambaye si rahisi aandike vibaya namna hiyo.
 
Huyu mwamba nilimshtukia kitambo. Akili yangu inaniambia ni msomi mzuri tu ila kuandika vile ni kuzidi kuficha identity yake. Vitu anavyochangia sometimes ni vya mtu mwenye digrii ambaye si rahisi aandike vibaya namna hiyo.
Hata mimi namchora tuu....
 
Ebu nendeni google,
angalieni namna ya kutengeneza mabomu ya petrol. Ni rahisi
Vivyo hivyo Malalamiko peke yake bila matendo,hakuna matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…