Kumbe ni kama mitaa ya Porte au Prince - Haiti.Mkuuu kulee usalama labdaa saa NNE asbh
Mi niliiwahi kufanya mazoezi asbh kule wakaja wahuni wawili wakampora mama MMOJA simu
Walipofika karibu Yangu wakapunguza mbioo wakawa kama wako na mm
Gafla nkasikia. Wezii haooo nkashangaa jamaa wameniacha gaflaa
Kumbe mama MMOJA anaenda hospt mwanae Yuko icu wakampitia alililia aisee
BAHATI simu naiweka kwenye SEHEMU za risi KUNA bukta nyingine
Nkamwomba twende mpaka chini kwenye lami nkamtolea 12"000. Kwa simu nkamshauri hospt nenda mama aisee bado kidogo apige magoti nkamwomba stoooooop pls..na pole sana
Pona Yangu nilikuwa na jezi za 🏀
Alipofika yule mdadaa analia nkauliza mbona waliponkaribia walikuwa kama wanafanya mazoezi na mm
Aisee sijarudi Tena kuleee never
Aise
Kule Arusha kuna ule mtaa hata askari walikuwa wanasanda - umeshakuwa mada humu.
Mada kama hizi ndio zinsipaishs JF, sio ushetani unaonadiwa humu